Yanayojiri kwenye Sakata la Mwalimu kumchapa kikatili Mwanafunzi wa Shule ya Msingi Wilayani Kyerwa, Kagera

Yanayojiri kwenye Sakata la Mwalimu kumchapa kikatili Mwanafunzi wa Shule ya Msingi Wilayani Kyerwa, Kagera

Nahisi matoto ya kiafrika ni mambuzi ndio maana bila bakora hayaendi.
Hapa ndio unajua wazi kwamba waafrika ni nusu watu. Maana ukiuliza utaambiwa bila bakora hawaendi. Na ninavyojua hizo ni tabia za wanyama kutokwenda bila bakora. Kazi kwelikweli.
 
Kuna matoto yamekubuhu kweli kweli, yametoka kwenye familia za malezi ya hovyo hovyo, yamejifunza mambo tofauti na umri wao, wanasumbua na huharibu wenzao waliotoka kwenye familia Bora. Wakiachwa Taifa litaangamia. Mwalimu lazima saa nyingine ajivike mabomu kwa maslahi mapana ya nchi
 
Hi nchi ngumu sana kuishi yaani kila mtu anafanya anavyoona inafaa, hakuna utaratibu maalum

Hii adhabu ni kubwa mno, unyayoni panauma haswaa
 
Back
Top Bottom