Yanayojiri kwenye Sakata la Mwalimu kumchapa kikatili Mwanafunzi wa Shule ya Msingi Wilayani Kyerwa, Kagera

Sema tukatae tukubali utandawazi umekuwa muhimu sana katika kuibua tusiyoyajua hapa nchini,imagine tangu tupate uhuru mangapi kama hili la mwalimu na lile la wauguzi ambayo tulikuwa hatuyajui yamefanyika gizani tangu 1961!???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…