Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 3,504
- 6,809
Ili kukomesha huu ufala, familia na Wanakijiji inabidi wamalizane na huyu mwalimu, wamwachie makovu ya kutosha ili aje aoneshe wenzake watakao jaribu au wenye tabia ya kupiga wanafunzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
goodWazazi wanatakiwa walipe visasi kwa walimu au watu wanaowafanyia unyanyasaji watoto wao.
Iruhusiwe kisheria.
Sana wamechapika mnoooshule za mikoani zina viboko wale waliosoma miaka ya nyuma kabla internet kuingia mtakuwa mnajua
Unaweza Kuta dogo kala bangi au anawasodoma wenzake huko shuleni just imagine mwalimu ambaye kapewa jukumu la kumlea huyo mtoto atakavyokuwa furious.Sasa mtoto kama huyo atakuwa amefanya kosa gani mpaka anapewa adhabu kama hiyo kisa kapata 1/10 au
Na pembeni kule wamekaa wengine wanacheka tu kama ni jambo la kawaida linalotendeka [emoji706] kuna watu ni matakataka
Kumsemea dogo makosa kama hayo sidhan kama ni sawaUnaweza Kuta dogo kala bangi au anawasodoma wenzake huko shuleni just imagine mwalimu ambaye kapewa jukumu la kumlea huyo mtoto atakavyokuwa furious.
Nidhamu ya shule ikiwa mbovu wanasiasa watakuvamia tena.Hv Mwalimu ukikausha ukawa unafundisha zako ukimaliza unaendelea na mishe zako utapungua nini?
Wanajifanya wakali[emoji1787]Acheni kukuza mambo, mbona ni adhabu ya kawaida hyo,sijaona cha ajabu hapo labda kama wengi wenu humu mmesomea international school ndo mtashangaa haya
Mkuu atakuchapa viboko [emoji1][emoji1787]Huyu mwalimu ,kama mzazi nikumtafuta unamtia naye magumi
Ova
Mchukue mwanao mzee Kaa nae home atasoma huko huko[emoji1787]Nilishasema huwezi piga mtoto wangu hivyo nikakuacha salama.
Lazima nifungue bucha.
Usikute mzazi mwenyewe hakuenda Wala sababu anamjua mwanae kashindikana.Ningekuwa mzazi wa huyo mtoto ningeenda shule nimkamate mwalimu nimchape kama anavyomchapa huyo mtoto, tena ningemchapa mbele ya walimu wenzake. Ningemchapa mpaka ajikojolee.