Yanayojiri kwenye Sakata la Mwalimu kumchapa kikatili Mwanafunzi wa Shule ya Msingi Wilayani Kyerwa, Kagera

Yanayojiri kwenye Sakata la Mwalimu kumchapa kikatili Mwanafunzi wa Shule ya Msingi Wilayani Kyerwa, Kagera

Ili kukomesha huu ufala, familia na Wanakijiji inabidi wamalizane na huyu mwalimu, wamwachie makovu ya kutosha ili aje aoneshe wenzake watakao jaribu au wenye tabia ya kupiga wanafunzi
 
Huu ukatili ulikuwa kawaida sana miaka hiyo tunasoma sekondari sijui siku hizi, kuna mwalimu mmoja alikuwa anavizia wanafunzi mmelala kama saa saba usiku, kuna siku nilishuhudia mwenzetu alipigwa mpaka nafikiri alizimia, alikuwa uchi alipigwa za matako na mgongo zisizo na idadi, tulipoamka asubuhi damu zilikuwa kila sehemu na hakuna kitu kilifanyika
 
Huyu mwalimu mpumbav wangemwacha mtaani wahuni tushughulike naye.

Lijitu lizima kumwadhibu mtoto unapata raha ama faida gani?

Kama una nguvu kwanini usitumie kujikwamua kiuchumi uondokane na huo utumwa wa mshahara wa sungura kazi tembo.
 
Sasa mtoto kama huyo atakuwa amefanya kosa gani mpaka anapewa adhabu kama hiyo kisa kapata 1/10 au
Na pembeni kule wamekaa wengine wanacheka tu kama ni jambo la kawaida linalotendeka [emoji706] kuna watu ni matakataka
Unaweza Kuta dogo kala bangi au anawasodoma wenzake huko shuleni just imagine mwalimu ambaye kapewa jukumu la kumlea huyo mtoto atakavyokuwa furious.
 
Unaweza Kuta dogo kala bangi au anawasodoma wenzake huko shuleni just imagine mwalimu ambaye kapewa jukumu la kumlea huyo mtoto atakavyokuwa furious.
Kumsemea dogo makosa kama hayo sidhan kama ni sawa
 
Kuna kazi ambazo SI Kila Mtu anaweza kufanya, mfano ni UALIMU
 
Hv Mwalimu ukikausha ukawa unafundisha zako ukimaliza unaendelea na mishe zako utapungua nini?
Nidhamu ya shule ikiwa mbovu wanasiasa watakuvamia tena.

Kimsingi walimu hawapui wakisimama nchale wakichuchuma nchale, wakikikimbia nchale, wakilala nchale.

Wanasiasa wakisikia tu mwalimu Fulani kazingua wako fasta kwenda chukua credit.
 
Kazi ya uwalimu inalawama sana kama utakuwa mtu una jaji kimehemko .nakumbuka kuna kipindi ilikuja staff kesi ya dogo wa darasa la v.wamemlawiti dogo wa chekechea mpka anashindwa kukaa na ushahidi upo..hivi kama wew ni mwalimu unafanya nini kwa haraka haraka.na wewe mzazi jion mwanao anakuja ata kukaa hawezi sababu kalawitiwa ungefanya nini!watu wengi wanaongea kwa kuwa ayajawakuta, kuna watoto wanatabia za kishetani acha tu.
 
Tafuta kwanza xhanzo ndio uhukumu mzee... Je kama huyo dogo kamlawiti mwenzake ??? Utamlaumu mwalimu
 
Acheni kukuza mambo, mbona ni adhabu ya kawaida hyo,sijaona cha ajabu hapo labda kama wengi wenu humu mmesomea international school ndo mtashangaa haya
Wanajifanya wakali[emoji1787]

Nakumbukaga walimu wawili wa primary walikuwa wababe kichizi.

Kuna siku wakasikia eti viboko vimekatazwa wakasema "hapa viboko vipo kama Sinia la wali"

Ukija na babake kisa hataki uchapwe tunakuchapa wewe na babako[emoji1787][emoji1787]
 
Trust me Kuna walimu smart sana hawana mbishe za viboko still wanawekwa kundi Moja na hao machizi

Ukimdharau mwalimu mchukue mwanao Kaa nae nyumbani. Mfundishe mbona easy sana.

Hilo tukio isiwe justification kuwadharau walimu.

Waambje hao wanasiasa wawape maslahi mazuri walimu Ili stress waachane nazo.

By the way mwanao atachezea viboko kama kawaida la sivyo anaweza kuwa mvuta bangi, au shoga

Walimu wanakusaidia kumshape tabia wewe si Hauna muda.
 
Ningekuwa mzazi wa huyo mtoto ningeenda shule nimkamate mwalimu nimchape kama anavyomchapa huyo mtoto, tena ningemchapa mbele ya walimu wenzake. Ningemchapa mpaka ajikojolee.
Usikute mzazi mwenyewe hakuenda Wala sababu anamjua mwanae kashindikana.

Tukio la tarehe 10 huko linakuja ibuliwa tarehe 20na kitu kama sio kutafuta sifa ni Nini!?

Sawa hakustahili kuchapa vile ila Kuna watu wanataka kujipatia ujiko kupitia Hilo tukio
 
Corporal Punishment.

Educational psychology hakuizingatis mwalimu.

By the way Kuna mambo ya kuyaacha kama yalivyo sometime ukijifanga ngangari sijui kindakindaki unakutana na visanga na misala kama hio.

Ticha hatotoka salama wanasiasa watamfanya asusa.
 
Back
Top Bottom