Yanayojiri leaders muda huu kuaga mwili wa Adam Kuambian

Hapa ndipo atakapolala marehemu Adam Kuambiana
 
Dokii analia kwa uchungu hapa..........

hivi huyu aliyekuwa anamtia gundu caz t mwana wa komba bado yupo?

mfikishieni salaam tunazinduwa hotel ya ghorofa ya caz t mwana wa komba.

bogota, Mexico, Uruguay na Brazil woyeeeeeeeeee!!
 
Caz T yuko wapi.........

yuko hapahapa saridalama na mambo yake iko super kabisa kama siyo diesel.

ukifika mitaa ya ukonga mombasa ndio utapata data zake jinsi maisha yanavyoweza kuchange, yule kahaba nadhani atakuwa anaumia sana moyoni maana baada ya kupigana chini ndio kama kamfungulia neema caz t.
 

yeah nakumbuka miaka hiyoooooooo nilikua naishi mombasa alikuaga yuko pande hizo

alikuwa rafiki wa anko wangu hajahama hiyo mitaa tu maana kitambo ile mbaya enzi

hizo alikua bado anavuma na sile nyimbo zake "NAKUHITAJI"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…