ChickMagnet
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 2,676
- 3,451
Madamme yeye alikuwa busy na Galaxy Note 3 yake tuu ..... Hana habaree na mtu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani upo mumie?Nimekumiss!!!!
Rusha picha ya madame tumuone basii
Madam alikiwepo too bad sina pic
Maimatha alivokua kavaa na zile kope za bandia sasa
pamoja sana, jukwaa la celebrates bila wakata mauno linawezekana.Pamoja mkuu McDonald hili ni jukumu letu sote kuabarishana kuelimishana nk ili kuboresha jamvi letu
Marehemu hakuwa na ndugu wala wazazi? Naona wasanii tu.
View attachment 159446Vilio vimetawala leo
Walikuwa watatu,wazazi wao wamekufa,mmoja kafa hata 40 bado,so kabaki mm1.
So sad jamani. Asante kwa kunielewesha.
Walikuwa watatu,wazazi wao wamekufa,mmoja kafa hata 40 bado,so kabaki mm1.