Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Midemu ya bongo bana
imefanyaje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Midemu ya bongo bana
Hivi huyu Adam mdogo wake aliyefariki Alikuwa anaitwa
Patrick a.k.a Pamo?
Mmh natazama take one naona watu wanavyozimia du ukifa kila mtu anakupenda picha ya mrs ngololo msibanView attachment 159487
warumi alitupiga changa la macho eti msiba hauna watu,naona kwa aibu ameifuta ile thread
Alafu kapotelea wapi jamaa
Halafu unajiita mwanaume rijalina hata mapashkuna wenzake wanapita kimyakimya tu hapa. taratibu jf itarudi kwenye viwango vyake vilivyoingiliwa na na mapashkuna.
Jaman nani kazimiaaa kuzid wotee
Shosti upo? Mzima wewe?
Halafu unajiita mwanaume rijali
Nipo tu sijambo sikuoni weyeee
Nimerud binamu naona watu wameshaanza kuni mis nan huyo anayenitaj taja tena
Hilo si punga tu kwan hulijui
na hata mapashkuna wenzake wanapita kimyakimya tu hapa. taratibu jf itarudi kwenye viwango vyake vilivyoingiliwa na na mapashkuna.
wanakukubali kiaina,wanakupenda kiaina binamu!
warumi alitupiga changa la macho eti msiba hauna watu,naona kwa aibu ameifuta ile thread
watu wa bongo movie wana kaushirikiano flani which is good
Wana ushirikiano au walienda leaders kufanya show off, mngeenda kwa mke wake uko bunju ndo mngeuona uo ushirikiano, hawana lolote ,bahat mbaya sijawa official muandish wa habar maaana ninge record kila kitu ndo mngeelewa, wengi walioonekana kwenye mazishi , nyumban kwenye msiba hawakuwepo