Yanayojiri leaders muda huu kuaga mwili wa Adam Kuambian

Yanayojiri leaders muda huu kuaga mwili wa Adam Kuambian

Madamme yeye alikuwa busy na Galaxy Note 3 yake tuu ..... Hana habaree na mtu
 
Kibo10 thanks much leo umefanya kazi ya msingi sana honestly umelitendea haki jukwaa hili.
 
Last edited by a moderator:
Sote tu safarini......
Pumzika kwa amani Adam!!!
Ahsanteni kwa updates,kazi nzuri.
 
Mmh natazama take one naona watu wanavyozimia du ukifa kila mtu anakupenda picha ya mrs ngololo msiban ImageUploadedByJamiiForums1400612378.948793.jpg
 
Back
Top Bottom