Wolper kazimia................
kabebwa kwenye machela
Wacha weeeeee je steve
huyo alikuwa ng'ang'ari muda woteeeeeeee
Rusha picha ya madame tumuone basii
Ha ha ha ha Dina mbaya wewe
Mamaa mi mbayaa kweliii tumuone madame wetu
Ila kweli sijui kama alienda
Marehemu hakuwa na ndugu wala wazazi? Naona wasanii tu.
Hili nalo swaliii