Yanayojiri leaders muda huu kuaga mwili wa Adam Kuambian

warumi alitupiga changa la macho eti msiba hauna watu,naona kwa aibu ameifuta ile thread
 
Last edited by a moderator:
warumi alitupiga changa la macho eti msiba hauna watu,naona kwa aibu ameifuta ile thread

Ndio msiba ulikuwa hauna watu, changa la macho lipi nililokupiga??, nimesharud sasa ongea kama ulivyokuwa unaongea wakat sipo, maana nilikuwa sipo ukawashwa na warumi
 
Last edited by a moderator:
Hilo si punga tu kwan hulijui

Umemsikia ndugu yako, et jamii forum itarud kama zaman, kisa warumi hayupo, sasa uwepo wangu humu yeye unamuuma nn??, kumbe watu wanaumia kuniona humu eeh??, dah bas nipo sana aiseeh, wataondoka wao hata kama niliwakuta, mi nipo sana humu
 
Last edited by a moderator:
na hata mapashkuna wenzake wanapita kimyakimya tu hapa. taratibu jf itarudi kwenye viwango vyake vilivyoingiliwa na na mapashkuna.

Wewe roho inakuuma nini warumi kuwepo humu?? , huo ni uchawi ndugu yangu, na nyie ndo hamchelewag kuua watu kwa ajili ya wivu, wewe humu ni nothing tu kama mimi, usijifanye mjuaji saaana, kila mtu kaingia kivyake, au unaona nimekuzid viwango ndo maana unaharisha, maana naona unajitahid kuanzisha thread lakin wap zinabuma kwa jinsi ulivyokuwa mchawi, achana na mm wewe, kila mtu kaingia kwa mda wake na atatoka kwa mda wake humu
 
Last edited by a moderator:
watu wa bongo movie wana kaushirikiano flani which is good

Wana ushirikiano au walienda leaders kufanya show off, mngeenda kwa mke wake uko bunju ndo mngeuona uo ushirikiano, hawana lolote ,bahat mbaya sijawa official muandish wa habar maaana ninge record kila kitu ndo mngeelewa, wengi walioonekana kwenye mazishi , nyumban kwenye msiba hawakuwepo
 

Warumi.....Wasanii wengi walikuwa hawajui makazi halisi ya marehemu.....usiwahukumu kwa huu msiba wa juzi kati.
Nadhani ulikosea timing tu...by the time wanajikusanya,wewe ukawa umesepa.
 

Tena wengi walikua wanacheka Mtitu anaweka shada kaburini huku anabasamu lol utafikiri yupo kwenye graduation
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…