Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hivi rehearsal yote ile kulia tangu juzi mpaka saa hizi hawajajidondosha? hakuna aliyezimia bado?View attachment 159388Wasanii tofauti wakilia kwa uchungu hapa viwanja vya Leaders.
watu wanalia sana nimeongea na my mom nimekua nikisikia vilio
hivi rehearsal yote ile kulia tangu juzi mpaka saa hizi hawajajidondosha? hakuna aliyezimia bado?
madame ya ndomo vipi hajasusa?
Kibo10 marehemu alikuwa hajaoa bado?
rehearsal ilikuwa inafanyika tangu juzi, nasubiri idadi ya watakaozimia.
huyu steve nyerere natumaini hajawekwa kwenye kitengo cha rambirambi maana huyu mtoto mkavu kabisa kwenye hela.Wema nimeambiwa yupo..........
nilisoma kwenye gazeti nikasikia Steve Nyerere na Batuli wanaongoza kwa kulia
I was like kulikua na mashindano huko........
Mhhhhhhh dunian kuna mengi