Yanayojiri leaders muda huu kuaga mwili wa Adam Kuambian

Yanayojiri leaders muda huu kuaga mwili wa Adam Kuambian

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11,277
Reaction score
8,860
Kwa yeyote aliyepo eneo la tukio tujuzane hapa kinachojiri leaders
Ni vizuri kutupia na picha ImageUploadedByJamiiForums1400578199.974744.jpg
 
Mlioko leaders tunaomba mtuhabarishe kinachoendelea . Ikiwezekana na picha tafadhali.
 
ImageUploadedByJamiiForums1400578684.051023.jpgWasanii tofauti wakilia kwa uchungu hapa viwanja vya Leaders.
 
Kwa waliokuwepo Huko wengine tumeshindwa si mbaya kupeana yanay.ojiri uwanjaa wa leaders jamani mpaka kinondoni makaburini
 
Mbona Leo siwaoni wasanii waliovaa miwani mikuuubwa kama ya kuchomelea. More pics please!
 
Duh!kweli wanadamu hatuna thamani.hangaika weeee ila mwisho wa cku shimoni panahusu.ee mungu tustiri sie waja wako.
 
ImageUploadedByJamiiForums1400580922.614810.jpgWaombolezaji wakiwa wamelifungua gari la kubebea maiti ili kuweka jeneza lenye mwili wa Adamu Kuambiana leo
 
hivi rehearsal yote ile kulia tangu juzi mpaka saa hizi hawajajidondosha? hakuna aliyezimia bado?

madame ya ndomo vipi hajasusa?

Wema nimeambiwa yupo..........

nilisoma kwenye gazeti nikasikia Steve Nyerere na Batuli wanaongoza kwa kulia

I was like kulikua na mashindano huko........
 
Wema nimeambiwa yupo..........

nilisoma kwenye gazeti nikasikia Steve Nyerere na Batuli wanaongoza kwa kulia

I was like kulikua na mashindano huko........
huyu steve nyerere natumaini hajawekwa kwenye kitengo cha rambirambi maana huyu mtoto mkavu kabisa kwenye hela.
 
Back
Top Bottom