Yanayojiri Maandamano ya Gen Z Kenya
Stop the Cap Mzee!

Mbona hata Maza naye ni Mwarabu wa Oman lakini yanamshinda ?🤣🤣🤣

Lakini nchi imetulia, umesikia mtu kauawa na watu wasio julikana? Nawapongeza sana kwa maandamano hayo, japo nimesikitika kuna watu wameuawa.

Sisi huku tozo kibao, ushuru wa kuingiza magari upo juu sana, kodi zipo juu, yani we acha tu.
 
Ukiona mamba hatafuni mtu ujue kashiba tu, subiri siku njaa imfike ndiyo utafahamu kwamba mjasiri haacho asili.​
 
Lakini nchi imetulia, umesikia mtu kauawa na watu wasio julikana? Nawapongeza sana kwa maandamano hayo, japo nimesikitika kuna watu wameuawa.

Sisi huku tozo kibao, ushuru wa kuingiza magari upo juu sana, kodi zipo juu, yani we acha tu.
Kwann isitulie wakat inaliwa kwa urefu wa kamba za binadamu
 
tunapozungumzia mikate tunazungumzia kula-kula.. huez ongeza ma coin kibao kwenye sekta ya misosi, ndomana Gen Z wamevamia bunge.. wamefinya matonge ubwabwa wa waheshimiwa ili waone n jins gan inauma kuleteana mazoea kwenye mahotpot!!
 
Hahaha 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Hali imerejea kuwa Shwari baada ya Raisi Rutto kukubali kuutupilia mbali ule Mswaada wa Hovyo.
 
Back
Top Bottom