Yanayojiri Maandamano ya Gen Z Kenya
Makamanda wa ufipa wao wanaweza kutumia vidole lakini linapokuja suala la maandamano wote wapo kwenye foleni za hospitall ni wagonjwa!
Kweli saa mbovu kuna wakati husema
Ukweli
Kpara kipya Leo umesema ukweli

Lakini vijana wa Kenya wanasema hawajatumwa Wala kushirikishwa na wanasiasa

Huenda hii ikawa east Africa uprising
Itasambaa na huku bongo na nchi nyingine za east Africa

Ccm mjiandae

Tutawataight pala salenfer na tanzanite bridge
 
Siwaoni huku bongo x na jamii aaha kazi tunaiweza!
 
Back
Top Bottom