Bado maiti za Tanzania kuanza kufanya civil disobedience na rebellion .
We ngoja tu ,hali ngumu ya maisha itatuforce kuingia barabarani ,tutake tusitake .
Tumeshindwa kuwawajibisha hawa mumiani wa ccm waliharibu hii nchi kwa miaka 60+ ,ila hali ya maisha itatuforce kuingia barabarani na wala si chama cha upinzani .
Hili linakuja Tz soon .
Ukiangalia jinsi serikali inavyokopa na kufanya mambo ya kipuuzi na ufisadi + kutowajibika .
Srilanka way