toto La kale
New Member
- Feb 16, 2017
- 3
- 2
Picha tafadhalii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yaani wamelichoma moto?Sehemu ya Jengo la bunge la Kenya linawaka moto muda huu
Source Citizens tv
Natamani hata hili la Rango litiwe kiberiti na wote waliomsulubu Mpina wateketee yabaki majivu tupu.Sehemu ya Jengo la bunge la Kenya linawaka moto muda huu
Source Citizens tv
hahahah kumbe sahivi anaitwa rangoNatamani hata hili la Rango litiwe kiberiti na wote waliomsulubu Mpina wateketee yabaki majivu tupu.
utaoma iwe hivyo hadi unaolewa bado halitatokeaNatamani hata hili la Rango litiwe kiberiti na wote waliomsulubu Mpina wateketee yabaki majivu tupu.
Watakuwa wamesahau kuzima stima hao "wabonge" wa Kenya halafu wanawasingizia watoto.Wapambane kuuzima na "zile vimbuyu wanaitanga faya-stingiza"/fire extinguishers!Sehemu ya Jengo la bunge la Kenya linawaka moto muda huu
Source Citizens tv
Unashauri wawafanyaje?Serekali yao inacheka na kima!,
Hao vijana wasirembeshwe rembeshwe....!
hao wakamatwe wote wakatiwe gerezaniSerekali yao inacheka na kima!,
Hao vijana wasirembeshwe rembeshwe....!
Tuzidishe maombi kuna siku kiberiti toka mbinguni kama kile cha Sodoma na Gomorrah kitalitekeza hili la Rango.Huku kwetu ngoja waendelee na kuwafungia kina Mpina wazalendo wa Taifa, iko siku Mungu atatulipia.
hahaa haitatokea huku hiyoView attachment 3025892
mwenzako akinyolewa zako tia maji
Huwezi kufunga watu wote hao hakuna nchi yenye uwezo huo, haipo.hao wakamatwe wote wakatiwe gerezani
Mbona unaandika kama umekalia kitu kugumu chenye ncha butu kikiwa kimezama kabisa maungoni mwako, shoga mbovu weweutaoma iwe hivyo hadi unaolewa bado halitatokea