Yanayojiri Maandamano ya Gen Z Kenya
tuwaazime FFU
Hiyo ilikuwa ni Zanzibar tu majuzi polisi waliwashambulia masai na masai wakajibu mapigo kwa bakora zao!
IMG_20240131_221451.jpg
 
Huku kwetu RC anatukana watu kwenye mkutano. Ama kweli Nyerere aliongoza maiti
Ule mwwenge umepumbaza wengi, ndiyo maana katika maisha yangu sijawahi kuuona kwa macho yangu zaidi kwenye picha tu,tangu nikiwa shule za chini nilikuwa nagoma kwenda kwenye shughuli za mwenge.
 
Hali ni tete sana nchini Kenya waandamanaji wa Gen Z wameanikiwa kuwazidi nguvu askari na kuingia BUNGENI kisha kuanza kula chakula cha WABUNGE.

GEN Z ya Bongo inabishana Chris brown kucheza komasava😃
 

Attachments

  • FB_IMG_1719318629833.jpg
    FB_IMG_1719318629833.jpg
    122.7 KB · Views: 6
Back
Top Bottom