Yanayojiri miaka 51 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar 26/4/2015

 

Alikuwa ana tafakari jinsi ya kukabidhi nchi UKAWA ifikapo mwezi wa 10.
 
 

Hapo ndo tunaishangaa hii serikali na vibaraka wake kama ile issue ya pengo alivyojitokeza kuwapinga maaskofu waliotoa matamko kwa waumini wao kuipigia kura ya hapana katiba pendekezwa,eti hawana haki!hivi leo serikali inapata wapi haki ya kuwasjawishi watanzania waipigie hiyo hiyo katiba kura ya ndiyo?
 
Vile Vile Nashuhudia Tu Jinsi Gani Watangazaji Wa TBC Na ZBC Wanavyotangaza Kwa Kujipendekeza Huku Wakibana Na Kulegeza Sauti Na Kuongea Kimahaba Kila Wanapomzungumzia MUKULU. Sasa Sijui Wanatuaminisha Kitu Gani!

Mkuu Gents, wakumbushevhao watangazaji kuwa Vasco da Gama alishamaliza uteuzi wa madc. Kujipendekeza kuwa sasa ni too late.
 
Kwa mshangao mkubwa niko hapa uwanjani lakini hadi sasa sijamuona Edward Lowasa wa Richmond . Mzee yule ni mpenzi wa halaiki lakini leo nashangaa sijamuona . Mwenye taaraifa tafadhali au atakuja baadaye ?
Msaada jamani toka kwa team Lowasa
 
Mkuu Gents, wakumbushevhao watangazaji kuwa Vasco da Gama alishamaliza uteuzi wa madc. Kujipendekeza kuwa sasa ni too late.

Bado Hajateua Wahudumu Wa Ndege Yake Hivyo Huwezi Jua Wanaweza Wakateuliwa Huko Kwani Waliopo Sasa Wameshazeeka!
 

Akili zenu zimejaa maji tuu, hivi unataka serikali iseme upigie kura ya hapana? Hiyo serikali itakuwa ya ajabu sana. Maana itakuwa na hela za kuchezea,
 
Nadhani alikuwa na mawazo bado hajamaliza vikosi...ukizingatia muda ndio huo unayoyoma....UFALME ni kitu khatari na kitu mzuri .
 
Tunamwomba Askofu Pengo ajitokeze tena hadharani kuipinga kauli kwani serikali haina mamlaka ya kuwaamulia wananchi..

Akishindwa naunga mkono kauli ya Gwajima kuwa Pengo n mjinga anaye wayawaya.. cjui kala maharage ya wapi..
 
Akiingia hapo uwanjani anaona kama amejinyea kila mtu hamtaki.nasikia amelazwa ujerumani huko anaumwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…