Yanayojiri miaka 51 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar 26/4/2015

Yanayojiri miaka 51 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar 26/4/2015

hapo kuna unafiki mkubwa sana...watawataja wauza watumwa akina sheikh M Mkwawa,sheikh Kinje na Abushiri jinsi walivyo wapiga wamisionary walioingilia biashara yao ya utumwa.

Kwa uelewa wangu ili uwe mwislamu lazima upewe mojawapo ya jina la kiislamu, naomba uniambie MKwawa alikuwa anaitwa nani? Na kinjekitile alikuwa anaitwa nani? La sivyo huna unalolijua kazi yako kukashifu wazee wetu waliopigana na kumwaga damu ili tusitawaliwe na mkoloni.
 
Kwa uelewa wangu ili uwe mwislamu lazima upewe mojawapo ya jina la kiislamu, naomba uniambie MKwawa alikuwa anaitwa nani? Na kinjekitile alikuwa anaitwa nani? La sivyo huna unalolijua kazi yako kukashifu wazee wetu waliopigana na kumwaga damu ili tusitawaliwe na mkoloni.
Nikusaidie......sitaki lisema muda huu..Ndio maana nikaanza kwa kuuliza kwanini lilifichwa,pamoja na kinje...labda nikusaidie tuu...Adam Sapi Mkwawa alipata wapi dini ya kiislam?
 
Hata mi nimeliona hilo labda ukute ana ulinzi usioonekana.

Ukweli ni kwamba sniper akikutaka there is not much you can do. Labda ufanye security risk analysis na u-deploy counter snipers kwenye maeneo unayoamini sniper anaweza kukaa. Otherwise ni ngumu tu
 
Baba sisi huku kwetu tunafanya chochote wakubwa wanakifanya.

Kazi yetu kukopi tuuuuuuu lakin mtemi milambo, Isike, Mangi walikuwa na walinzi lakin hawakujuwa kama ipo miwani myeusi - FBI & CIA Effect

Mkuu siyo kila miwani ni miwani. Mingine ina mengine. Ntaishia hapo kwa leo.
 
Hata mi nimeliona hilo labda ukute ana ulinzi usioonekana.
Ukweli si ngumu kufanya asassination kihivyo....ila kwa leo ni ngumu kwa vile kuna usalama hadi wa mataifa mengine...ila mitaani.Kunahitaji tuu utulivu wa umma.Waaalamu wengi tuu wanakubali hilo...bahati nzuri issue km hizo zinahusisha watu wengi ktk mipango ndio maana zina fail.ila lone person akiamua kufanya bila mwambia mtu ila ana plann after tukio afanye nini si ngumu.
 
Kwa nini JK anapenda sana kucheka?

Binadamu wanatofautiana sana hulka. Ni kawaida. pia kuna malezi na makuzi ambayo yanachangiwa na geogrphy ya mtu husika. kimsingi siyo kila mtu anaweza. ukimwambia Mh. Pinda awe anatabasamu tu hilo litamshinda! Likewise ukimwambia Mkuu anune ni ngumu.
 
Endapo Tu Nitajulishwa Kama Si Kufahamishwa Tofauti Kubwa Kati Ya MARINES SPECIAL FORCE Wanaovaa Kofia Za Bluu Na COMMANDO Wanaovaa Kofia Rangi Ya Damu Ya Mzee.
Nitawashukuruni Mno Kwa UFAFANUZI Wenu Kwani Nataka Kujipanga ILI Nijiunge Na Kikosi Kimoja Wapo Hapo!
Wote ni Comando wa Jeshi la Wananchi tofauti yao ni kuwa Marine wao baada ya kumaliza kozi ya comando walipelekwa Navy kwa ajili ya kazi za baharini zaidi. Marine imeanzishwa co muda mrefu sana, kama sikosei ni kama miaka 2 na nusu.
 
Wote ni Comando wa Jeshi la Wananchi tofauti yao ni kuwa Marine wao baada ya kumaliza kozi ya comando walipelekwa Navy kwa ajili ya kazi za baharini zaidi. Marine imeanzishwa co muda mrefu sana, kama sikosei ni kama miaka 2 na nusu.

Akhsante.
 
Napata kuamini hili kwamba Muungano ulipo sasa ni wa kinafiki na anganya toto kwa Watanzania kwamba kuna Muungano wakati in real sense ni usanii tu. Turudi kwenye mada ni kwamba Zanzibar ni Koloni la Tanzania bara, YES, Napata kuamini hivi kwa mambo yafuatayo:

1. Rais wa Tanzania Bara ndo mgeni rasmi kwenye sehrehe za Muungano
2. Rais wa Tanzania Bara ndo anapigiwa mizinga 21 kwenye sherehe hizi
3. Rais wa Tanzania Bara ndo anaimbiwa wimbo wa Taifa.
4. Rais wa Tanzania Bara ndo anakagua parade ya jeshi letu.
5. Rais wa Tanzania Bara anapewa heshima zote kwenye sherehe hizi.
6. Gwaride la heshima linapita mbele kwaajili ya Rais wa Tanzania Bara na sio wa Zanzibar
7. Huku Rais wa Zanzibar akitoa udenda pale jukwaani kwa yale anayofanyiwa Rais wa Bara.
8. Akili za viongozi wa Zanzibar zikiwa zimeshikiwa Bara.
9. Kwa haya yote Napata kuamini hakuna Muungano bali, Zanzibar ni Koloni la Tanzania Bara huku kiongozi wa Zanzibar akiwa kama Mayor wa kufanikisha unyonyaji huu.

WATANGANYIKA TUFURAHIE MIAKA 51 MUUNGANO TANGANYIKA NA KOLONI LETU (ZANZIBAR)


Mwl.Lioba nimekusikiliza vizuri kwenye Wazo la Kabwela(Zembwela).Huwezi hata siku moja kufananisha European union na USA na Muungano wetu huu ambao umechoka namna hii!!.Ulaya kila nchi ina rais wake na kila kitu cha kwake isipokuwa vitu ambavyo wamekubaliana kimkataba na vingi ni ulinzi na uchumi.Sasa ni wakati mwafaka wa kuwa na Muungano wenye maana,kila mtu awe na taifa lake na serikali yake na makubaliano yafanyike kama Ulaya walivyofanya au UK!! Sio huu wa kwetu ambao nchi mbili zimeungana moja ina Serikali yake na nyingine haina!! Tanganyika ipatikane na mkataba ufanyike upya hoja ya kuoleana haina mashiko!!!
 
Kikatiba, muungano wetu ni union, yaani taifa moja la Tanzania ambalo ni a United Repulic of Tanzania, lenye rais mmoja tuu, kwa sasa ni Jakaya Kikwete. Japo nchi zetu ni nchi mbili zilizoungana, bado zina serikali mbili lakini sio marais wawili, ndani ya set up ya muungano, Amiri Jeshi ni mmoja tuu, rais wa JMT!. Kwenye setup ya muungano, rais wa Zanzibar ni nobody, ila ili asijisikie he is nothing, amepewa uwaziri usio na wizara maalum ndani ya JMT hivyo anaingia ndani ya cabinet.
Pasco
Wanabodi,
Leo tarehe 26 April, 2026, ni siku ya Muungano.
Karibuni mitaa hii Live From Tunguu Zanzibar: Kongamano Kuadhimisha Miaka 62 ya Muungano Wetu Huu Adimu na Adhimu, Tutaulinda kwa Gharama Yoyote ili Udumu Milele!.

Nawatakia maadhimisho mema ya hii Sikukuu ya Muungano wetu huu adimu na adimu, uliotokana na yale Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, na kuwahihishia kuhusu huu Muungano wetu adimu na adhimu, ulidhamiriwa uwe muungano wa milele, hivyo tutaulinda kwa gharama yoyote ili udumu milele na milele!.

P.
 
Back
Top Bottom