Top 20 Most Powerful Militaries In Africa 2015
Mkuu ni kweli tuna jeshi imara,ila soma link utaona somalia,sudan kusini,congo DRC tulioenda kuwasaidia kuwachapa m23 wametupita,zimbawe nao wametupita ,hata 20 bora hatupo,sijui imekuwaje nimebaki nashangaa kama unajua kidogo nieleweshe!
Ukana Shilungo.
tunaweza tusiwe sisi mkuu hta majirani zetu wanaweza kulifanya tukio kama hili...ni vyema kujiboresha mkuu!!
Jk ndio haamini, leo ndio gwaride lake la mwisho kabisa kukagua.
Kidogo apate sugar na energizer zingine si unajua alivyo na record ya kuanguka hadharani...sasa sijui sirini ni mara ngapi?
ila kuna udhaifu mkubwa sna kwa upande wa ulinzi wa rais yani kwa professional assassinator/sniper hapati shida sana ya kutekeleza jukumu lake na kumtungua rais!!
Akili zenu zimejaa maji tuu, hivi unataka serikali iseme upigie kura ya hapana? Hiyo serikali itakuwa ya ajabu sana. Maana itakuwa na hela za kuchezea,
Kwa mshangao mkubwa niko hapa uwanjani lakini hadi sasa sijamuona Edward Lowasa wa Richmond . Mzee yule ni mpenzi wa halaiki lakini leo nashangaa sijamuona . Mwenye taaraifa tafadhali au atakuja baadaye ?
Msaada jamani toka kwa team Lowasa
SI unasikia wanataka leta mwingine ambaye anataka pawe na hospitali maalumu mapema.Tuna Viongozi wagonjwa hahahaha! Labda tusubiri Amiri jeshi Ajaye
Tanzania ni nchi ya amani sana!!! Na hili litadumu kwa miaka mingi kama tutaendelea kuipa CCM imani na
kuichagua katika chaguzi zetu.
Top 20 Most Powerful Militaries In Africa 2015
Mkuu ni kweli tuna jeshi imara,ila soma link utaona somalia,sudan kusini,congo DRC tulioenda kuwasaidia kuwachapa m23 wametupita,zimbawe nao wametupita ,hata 20 bora hatupo,sijui imekuwaje nimebaki nashangaa kama unajua kidogo nieleweshe!
Ukana Shilungo.
Hawana tofauti kubwa kimbinu..ila wanatofautina katika medani hao marine wamebobea kwa undani katika upambanaji katika maji hao wenye kofia nyekundu au Komando wao wamebobea kufanya kazi kwa kila hali yaani majini,ardhini na angani.Hiki kikosi maalum cha majini hakikuwepo ila imepaswa kuwa na kikosi kama hicho ili kubadili mfumo wa jeshi letu la majini kuwa na askari wanaoweza kufanya mashambulizi ya hali ya juu na uweledi kwa adui.