Hivi hii tenda ya kushona nguo za vijana wa halaiki ni nani anapewa?
Hivi hii tenda ya kushona nguo za vijana wa halaiki ni nani anapewa?
Napata kuamini hili kwamba Muungano ulipo sasa ni wa kinafiki na anganya toto kwa Watanzania kwamba kuna Muungano wakati in real sense ni usanii tu. Turudi kwenye mada ni kwamba Zanzibar ni Koloni la Tanzania bara, YES, Napata kuamini hivi kwa mambo yafuatayo:
1. Rais wa Tanzania Bara ndo mgeni rasmi kwenye sehrehe za Muungano
2. Rais wa Tanzania Bara ndo anapigiwa mizinga 21 kwenye sherehe hizi
3. Rais wa Tanzania Bara ndo anaimbiwa wimbo wa Taifa.
4. Rais wa Tanzania Bara ndo anakagua parade ya jeshi letu.
5. Rais wa Tanzania Bara anapewa heshima zote kwenye sherehe hizi.
6. Gwaride la heshima linapita mbele kwaajili ya Rais wa Tanzania Bara na sio wa Zanzibar
7. Huku Rais wa Zanzibar akitoa udenda pale jukwaani kwa yale anayofanyiwa Rais wa Bara.
8. Akili za viongozi wa Zanzibar zikiwa zimeshikiwa Bara.
9. Kwa haya yote Napata kuamini hakuna Muungano bali, Zanzibar ni Koloni la Tanzania Bara huku kiongozi wa Zanzibar akiwa kama Mayor wa kufanikisha unyonyaji huu.
WATANGANYIKA TUFURAHIE MIAKA 51 MUUNGANO TANGANYIKA NA KOLONI LETU (ZANZIBAR)
kwenye ndege hakuhusu mu Africa wala mzungu as long as unaweza kulipia unatumia.
Mkuu Pasco napata shida sana kulifikiria hili, hivyo baadhi ya viongozi wanavyoimba kuwa wanataka Zanzibar huru wapo sahihi???
Kwenye setup ya muungano, rais wa Zanzibar ni nobody, ila ili asijisikie he is nothing, amepewa uwaziri usio na wizara maalum ndani ya JMT hivyo anaingia ndani ya cabinet.
Pasco
Msubiri ktk shooting ya Airport lazima mabomu ya machozi yaishe mwaka huu kabla ya uchaguzi.Akiingia hapo uwanjani anaona kama amejinyea kila mtu hamtaki.nasikia amelazwa ujerumani huko anaumwa.
Nimekupata ila hapo kwenye kingereza sijakuelewa
Gwaride la mwisho hilo haamini kama muda wake umeisha.
Hapo ndo tunaishangaa hii serikali na vibaraka wake kama ile issue ya pengo alivyojitokeza kuwapinga maaskofu waliotoa matamko kwa waumini wao kuipigia kura ya hapana katiba pendekezwa,eti hawana haki!hivi leo serikali inapata wapi haki ya kuwasjawishi watanzania waipigie hiyo hiyo katiba kura ya ndiyo?
Kwasisi wa Dstv tuangalie chanel gani?
Haya maadhimisho ni ya ccm na serkali yake. Katiba inayopendekezwa ni ya ccm na serkali yake. Kama siyo mwana ccm hayakuhusu waache waendelee na kampeni zao
hata mimi nimeshanga sana ,hivyo viwanja ni kama kiwanja kimoja tu, chenye ukumbi A na BTz tuna matatizo.
Nilikuwa sijauona uwanja wa uhuru mida, kumbe umesogea hivyo kiujenzi???
Kwa nini tumejenga viwanja 2 world class karibu karibu hivyo?????
Nina mashaka na watu wanaofanya planning hapa Tz.
Naomba kuuliza mbona sijamwona mh. Lowassa au ndio ile taarifa ya kwenda matibabu Germany?
Haha..au yupo busy kutengeneza hospitali ya marais yenye ikulu ili aongeoze nchi kwa remote...tofauti na swahiba aliyemtosa ambaye aliacha NCHI KTK AUTO PILOT?
Akiingia hapo uwanjani anaona kama amejinyea kila mtu hamtaki.nasikia amelazwa ujerumani huko anaumwa.
Kwa mshangao mkubwa niko hapa uwanjani lakini hadi sasa sijamuona Edward Lowasa wa Richmond . Mzee yule ni mpenzi wa halaiki lakini leo nashangaa sijamuona . Mwenye taaraifa tafadhali au atakuja baadaye ?
Msaada jamani toka kwa team Lowasa