Tetesi: Yanayojiri ndani ya Chama Cha Mapinduzi(CCM)

Usukuma wake una mbeba kwanini kuwe na double standard wakati wapo walioacha kazi. Ku forge ni kosa kubwa tu, ila kwa ccm hamna lisilowezekana
 
Nimepitia michango kadhaa ya wadau nimegundua wanahusisha ukabila na hili swala la mkuu wa mkoa.

Mimi nilichokiona wengi wanamwonea wivu Paul makonda kwa mafanikio aliyonao, Raisi hawezi kumgusa kwa sababu anajua jamaaa ni mchapa kazi balaa.

Ukawa wamekalishwa dsm hatuoni impact zao, Kwani tuliaminishwa sasa wamelikamata jiji, tukategemea kuona chochote kumbe byeee.

Makonda ndio kiboko yenu, endeleeni kuisoma namba na hawezi kuguswa na mkuu
 
Mwongo na mmbea mkubwa, hata wewe bashite vilevile
Mleta Mada amesema kuwa ndani ya Chama kuna watu ambao wanamkingia kifua Bashite kwa Gharama zote kwa Maslahi ya Chama.
You are one of them
 
Hawa Ccm sijui huwa wanafikiria kwa kutumia nini. Kama walikubali mwenyeki wao ashughulikie vyeti fake iweje sasa wana taka kumlinda mwizi wa vyeti?? Hapa ndipo tunaichoka Ccm.
 
Tehe tehe tehe,CCM hawawezi kucheza ngoma ya chadema kirahisi hivyo.Rudi kapange tena fitna zako kamanda
 
Madhara ya kumlinda Daud Bashite ni makubwa kuliko wanavyodhani..na madhara hayo yataonekana zaidi kipindi cha kampeni
 
Yaani Mzee alivyokuwa na speed ya kuhakiki vyeti sasa hivi kimya cos harufu kali ya mavi inatoka chumbani kwake...
 
Hiki chama sijui uongo ni taaluma kwao? Mtu kaidanganya Tanzania akiwamo mkulu lakin wanataka kuutukuza uongo wake, hivi mnatushawishi vipi tuamini kwamba mna nia ya kutuletea maendeleo ikiwa asilimia kubwa miongoni mwenu vyeti vya kugushi yani feki?
 

bado mnapiga ramli mara hapewi chama huyu kapewe , mara jk chama kina mfia
 
Acha Uzushi ww kwa kikao gani kiluchofanyika cha Kata or Tawi or Wilaya sababu CCM kwa sasa haijawa na kikao ........ Acha upuuzi huo Admin burn taarifa ya uwongo hii
 
Kubadili katiba ya chama aiendane na matakwa ya mwenyekiti!!!!!!!!!? Hapana napata mashaka makubwa sana kama madai haya yana ukweli lakini maana kama ameanza na ya chama maana yake soon itafuata sheria mama ya nchi na hapo ndio shimoni mazima maana dalili hizi si nzuri na kwa akili za baadhi ya wabunge wa CHAMA CHA MAPINDUZI wasivyo jua kujisimamia wenyewe hadi wasimamiwe na kuamrishwa na kupiga makofi na vigelele maana wako hodari sana kwahilo, namashaka chochote atakacho taka bwana yule hata kama si chema kwa taifa kitafanikiwa kupitia kwa wabunge wa CCM.

Sina mashaka na UKAWA maana wana kundi kubwa la wabunge wanao weza kujisimamia na kukisimamia wanacho kiamini lakini baadhi ya hawa wenzangu CCM walio wemgi wao na mashaka makubwa sana kuwa sheria mama ikihitajika kuchezewa basi itachezewa sana kupitia kwa hawa hawa baadhi wabunge wa CHAMA CHA MAPINDUZI maana akili na uelewa wao walio wengi ni ndio mzee ,rushwa, unafiki na ujinga, maana nikikumbuka sarakasi walizo piga kwenye katiba ya warioba na sheria ya vyombo vya habari sina hamu nao kabisa wabunge wa chama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…