Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
Usukuma wake una mbeba kwanini kuwe na double standard wakati wapo walioacha kazi. Ku forge ni kosa kubwa tu, ila kwa ccm hamna lisilowezekana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mleta Mada amesema kuwa ndani ya Chama kuna watu ambao wanamkingia kifua Bashite kwa Gharama zote kwa Maslahi ya Chama.Mwongo na mmbea mkubwa, hata wewe bashite vilevile
Father and son like.Kuna nini kati ya ngosha na Bashite?????
Huyu makonda anabebwa sana na Ngosha
Mbna wengine wanaadhibiwa kwann huyu anabebebwa wakati alifeli?
Tehe tehe tehe,CCM hawawezi kucheza ngoma ya chadema kirahisi hivyo.Rudi kapange tena fitna zako kamandaTaarifa za ndani za CCM ni kwamba mpaka sasa kumetokea mgawanyiko; wapo wanachama na baadhi ya viongozi wa CCM ambao wameunga mkono madai ya wananchi kuzitaka mamlaka zihakiki tuhuma dhidi ya Kada wa CCM na mkuu wa mkoa wa DSM bwana Paul Makonda almaarufu Daudi Bashite, juu ya vyeti vya kitaaluma. Na kundi lingine ambalo linaamini kwamba hata kama mkuu huyo alifeli darasa la saba au hata awe hakufika darasa la saba Kwa maslahi ya c...hama, akingiwe kifua.
Uongozi wa juu wa chama hicho umewaagiza wanachama kutokukuza madai hayo, na badala yake wajiandae Kwa mkutano mkuu wa CCM unaotarajiwa kufanyika mwezi huu wa machi, kama maandalizi ya kubadili katiba ya chama hicho, iendane na matakwa ya mwenyekiti wao Mhe. Magufuli. Wasomi mbalimbali na wachambuzi wa masuala ya kiiasa wamedai kuwa CCM inakoelekea, inarudi zama za 'Kudumisha fikra za mwenyekiti'.
Takribani wiki mbili sasa, mkuu wa mkoa wa DSM amekuwa gumzo kwenye vyombo vya habari, mitandao ya kijamii na mijadala mbalimbali, juu ya tuhuma dhidi yake, kwamba anatumia vyeti ambavyo sio vyake, mbali na kufeli kabisa mtihani wa kidato cha NNE Kwa kupata alama Sifuri, pia anasemekana alighushi vyeti.
Ndani ya CCM kinachoendelea ni kulazimishana na kuonyana kwamba wamuache Bashite aendelee na ukuu wa mkoa wasihoji taaluma yake na historia yake ya elimu.
SureHao wanaotaka abaki ni wale wenye maslahi moja kwa moja na u-RC wake. Ukumbuke hapo kuna wenye tender, zabuni na mazaga zaga kibao na ndio hao wanaojitoa akili kumkingia kifua.
Kumtetea Bashite inahitaji uwe na akili ya fa fa fa fa.Pole sana
Hahaha
mtaendelea kuwadanganya wapuuzi!!
Taarifa za ndani za CCM ni kwamba mpaka sasa kumetokea mgawanyiko; wapo wanachama na baadhi ya viongozi wa CCM ambao wameunga mkono madai ya wananchi kuzitaka mamlaka zihakiki tuhuma dhidi ya Kada wa CCM na mkuu wa mkoa wa DSM bwana Paul Makonda almaarufu Daudi Bashite, juu ya vyeti vya kitaaluma. Na kundi lingine ambalo linaamini kwamba hata kama mkuu huyo alifeli darasa la saba au hata awe hakufika darasa la saba Kwa maslahi ya c...hama, akingiwe kifua.
Uongozi wa juu wa chama hicho umewaagiza wanachama kutokukuza madai hayo, na badala yake wajiandae Kwa mkutano mkuu wa CCM unaotarajiwa kufanyika mwezi huu wa machi, kama maandalizi ya kubadili katiba ya chama hicho, iendane na matakwa ya mwenyekiti wao Mhe. Magufuli. Wasomi mbalimbali na wachambuzi wa masuala ya kiiasa wamedai kuwa CCM inakoelekea, inarudi zama za 'Kudumisha fikra za mwenyekiti'.
Takribani wiki mbili sasa, mkuu wa mkoa wa DSM amekuwa gumzo kwenye vyombo vya habari, mitandao ya kijamii na mijadala mbalimbali, juu ya tuhuma dhidi yake, kwamba anatumia vyeti ambavyo sio vyake, mbali na kufeli kabisa mtihani wa kidato cha NNE Kwa kupata alama Sifuri, pia anasemekana alighushi vyeti.
Ndani ya CCM kinachoendelea ni kulazimishana na kuonyana kwamba wamuache Bashite aendelee na ukuu wa mkoa wasihoji taaluma yake na historia yake ya elimu.
Acha Uzushi ww kwa kikao gani kiluchofanyika cha Kata or Tawi or Wilaya sababu CCM kwa sasa haijawa na kikao ........ Acha upuuzi huo Admin burn taarifa ya uwongo hiiTaarifa za ndani za CCM ni kwamba mpaka sasa kumetokea mgawanyiko; wapo wanachama na baadhi ya viongozi wa CCM ambao wameunga mkono madai ya wananchi kuzitaka mamlaka zihakiki tuhuma dhidi ya Kada wa CCM na mkuu wa mkoa wa DSM bwana Paul Makonda almaarufu Daudi Bashite, juu ya vyeti vya kitaaluma. Na kundi lingine ambalo linaamini kwamba hata kama mkuu huyo alifeli darasa la saba au hata awe hakufika darasa la saba Kwa maslahi ya c...hama, akingiwe kifua.
Uongozi wa juu wa chama hicho umewaagiza wanachama kutokukuza madai hayo, na badala yake wajiandae Kwa mkutano mkuu wa CCM unaotarajiwa kufanyika mwezi huu wa machi, kama maandalizi ya kubadili katiba ya chama hicho, iendane na matakwa ya mwenyekiti wao Mhe. Magufuli. Wasomi mbalimbali na wachambuzi wa masuala ya kiiasa wamedai kuwa CCM inakoelekea, inarudi zama za 'Kudumisha fikra za mwenyekiti'.
Takribani wiki mbili sasa, mkuu wa mkoa wa DSM amekuwa gumzo kwenye vyombo vya habari, mitandao ya kijamii na mijadala mbalimbali, juu ya tuhuma dhidi yake, kwamba anatumia vyeti ambavyo sio vyake, mbali na kufeli kabisa mtihani wa kidato cha NNE Kwa kupata alama Sifuri, pia anasemekana alighushi vyeti.
Ndani ya CCM kinachoendelea ni kulazimishana na kuonyana kwamba wamuache Bashite aendelee na ukuu wa mkoa wasihoji taaluma yake na historia yake ya elimu.
Hivo tu??Father and son like.
Nikikumbuka baba Bashite alivyowaita wanafunzi Udom vilaza sina hamu! Kumbe naye anamiliki kilaza!Anatumia cheti cha mtu kufanya kazi rasmi ya serkali
Na sis makapuku ndio tunamlipa kilaza
Kubadili katiba ya chama aiendane na matakwa ya mwenyekiti!!!!!!!!!? Hapana napata mashaka makubwa sana kama madai haya yana ukweli lakini maana kama ameanza na ya chama maana yake soon itafuata sheria mama ya nchi na hapo ndio shimoni mazima maana dalili hizi si nzuri na kwa akili za baadhi ya wabunge wa CHAMA CHA MAPINDUZI wasivyo jua kujisimamia wenyewe hadi wasimamiwe na kuamrishwa na kupiga makofi na vigelele maana wako hodari sana kwahilo, namashaka chochote atakacho taka bwana yule hata kama si chema kwa taifa kitafanikiwa kupitia kwa wabunge wa CCM.Taarifa za ndani za CCM ni kwamba mpaka sasa kumetokea mgawanyiko; wapo wanachama na baadhi ya viongozi wa CCM ambao wameunga mkono madai ya wananchi kuzitaka mamlaka zihakiki tuhuma dhidi ya Kada wa CCM na mkuu wa mkoa wa DSM bwana Paul Makonda almaarufu Daudi Bashite, juu ya vyeti vya kitaaluma. Na kundi lingine ambalo linaamini kwamba hata kama mkuu huyo alifeli darasa la saba au hata awe hakufika darasa la saba Kwa maslahi ya c...hama, akingiwe kifua.