Tetesi: Yanayojiri ndani ya Chama Cha Mapinduzi(CCM)

Nikikumbuka baba Bashite alivyowaita wanafunzi Udom vilaza sina hamu! Kumbe naye anamiliki kilaza!
Tena kuanzia wanawe wa Damu kabisa na Udom aliingia kimagumashi hii tabia ya kunyoosheana vidole sana mapungufu ya wengine na kusahau ya kwako ni shida. Boriti yakupasa ulitoe kwanza wewe ndo uwe na nguvu kutoa kwa mwingine
 
Utamaduni wa JF ni HOJA kwa HOJA.

weka vyeti acha maneno.
We una hoja gani? ya kuambiwa changanya na yako. Nani mwenye dhamana ya kuprove beyond reasonable doubt. Unashadadia Maneno ya Tapeli Gwajima wakati wewe huna wala hujaviona vyeti hivyo fake. Jiandaeni kufungwa na ushabiki wa ki ngada ngada
 
SERIKALI ITOE TAMKO SASA .UKIMYA WA NINI ?MSEMA KWELI SIO MPENZI WA MUNGU SASA ?
 
Labda mheshimiwa mkuu kashachunguza na kubaini hili kuwa tuhuma haina ukweli, ndio maana kanyamaza.
Kwa jinsi alivyo na mipasho asingevumilia muda wote huo. Angeshatoka hadharani kuwapasha.
 
Akingiwe kifua vepe wakati Mr president yupo kwenye mchakato wa kuhakiki vyeti!!!

Hapa nahisi tutatangaziwa kwamba uhakiki huu ulihusu vyeti vya kuzaliwa na ndoa na si vya elimu
 
Wanaomkingia kifua wengi wao ni wahalifu wa type ya GSM..

Huyu Bashite tutaendelea kupaza sauti mpaka kieleweke..

Jizi la Taaluma.
Mkuu kama kulikuwa na uchaguzi uliomchagua RC basi endelea kukomaa. Lah, kama aliteuliwa na Rais mwenye mamlaka hayo bila ubia na mtu na unadhani utafosi kutumia JF basi wewe ni kauzu.
 
Kuna nini kati ya ngosha na Bashite?????
Mahaba aliyonayo ngosha kwa bashite ni ya kiwango cha lami.
Hata kuna mbunge alilalamika kwamba bashite amefikia hata kumpigia simu ngosha akiwa kwenye mikutano yake na kumweka loud speaker, hii inaonyesha ni kwa kiasi gani bashite na ngosha walivyokuwa na ukaribu, yaani ni kama mtu na mwanae vile.
Ila wahenga walisema mchelea mwana kulia iko siku atalia yeye
 
Safi sana mkuu , tutaendelea kuchomeka nzi wetu kwenye kila vikao vyao .
 
Mkuu kama kulikuwa na uchaguzi uliomchagua RC basi endelea kukomaa. Lah, kama aliteuliwa na Rais mwenye mamlaka hayo bila ubia na mtu na unadhani utafosi kutumia JF basi wewe ni kauzu.
Walioijenga ccm wameapa kuchukua fito zao .
 
Pole sana
Hahaha
mtaendelea kuwadanganya wapuuzi!!
Mtanyooka mwaka huu. Kama ikigundulikana kuwa Daudi Bashite alijipatia hati ya kusafiria kwa jina la Paulo Makonda kwa viapo vya uongo sheria iko wazi kwenda jela miaka mitatu yeye na wadhamini wake na wazazi kama nao walisaini affidavit. Hilo halina ubishi, na kama atalindwa na mtawala wa sasa sio shida, kosa la jinai halichachi tutamfunga tuu baadae.
 
walio tumbuliwa kwa kughushi vyeti warudi kazini. Kwa mujibu wa viwango vya Bashitemeter, hilo sio kosa la kumuondoa mtu kazini.
 
walio tumbuliwa kwa kughushi vyeti warudi kazini. Kwa mujibu wa viwango vya Bashitemeter, hilo sio kosa la kumuondoa mtu kazini.
 
hao wote chapa ng'ombe hakuna kitu kitafanyika
 
Mleta mada ni mkuu wa kitengo cha uongo chadema makao makuu
 
Kuna watu mmetuliza sana akili zetu katika kufikira humu jf.
Ushabiki na chuki humfyetua mtu uwezo wa kufikiria vyema.
Kuleta mizania ya jambo lolote lile lazima uanze kuonesha kwa uthibitisho jambo unalolitetea. Kwamba huyu jina analotumia si lake. La kwake ni fulani. Lakini pia tuelewe majina hubadilishwa mahakamani kwa "avidavit", je alilimiliki jina hilo bila kuapa mahakamani na ni lini na kwamadhumuni gani? Hilo la kwanza. La pili unayedai kaghushi, tupatie vielelezo vya kimaandishi ku-"justfy" hoja yako kama alivyosema mtoa hoja.
Vinginevyo itakuwa ni muendelezo wa chuki baada ya kutajwa katika orodha ya wauza "ngada".
Huyu makonda anabebwa sana na Ngosha

Mbna wengine wanaadhibiwa kwann huyu anabebebwa wakati alifeli?
 
Wao wajadili lakini bashite ndo chaguo la magu. Ataingizwa CC ya ccm baada ya mabadiliko ya katiba.
Na 2025 anamrithi magu kumlinda.
Hio katiba mpya ina wakata kina membe na wengine. Baada ya uchaguzi wa ccm
Kinachofata ni ccm mpya ambayo haitakua tena na sura ya kitaifa..
Kina membe na wengine waanze kufikiria kujiunga na ukawa tu hamna jinsi
 
Labda mheshimiwa mkuu kashachunguza na kubaini hili kuwa tuhuma haina ukweli, ndio maana kanyamaza.
Kwa mdomo ule wa mheshimiwa mkubwa katika hili kungekua na uongo ndani yake angeshakemea sema nini anaogopa kujivua Nguo, maana kujiunga na wanaoamini Paul ni Bashite si tu kumdharirisha kipenz chake Bali ni kuivua Nguo serikali yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…