Tetesi: Yanayojiri ndani ya Chama Cha Mapinduzi(CCM)

kwa hiyo bashite aliingiaje chuo wakati form six hakusoma?
 
Bashite anatakiwa anyang'anywe degree kwa sababu MTU ukipata zero huruhusiwi kuendelea na masomo ya chuo kikuu
 
Porojo bin fedhuli hizo, Lema amewagomea Mbowe, Tundu na Lowasa, walivyomshauri afanye Press conference mbele ya ofici ya Chadema, kuwashukuru viongozi wa cdm, wanachama na wananchi.

Lema kawaumiza kwa kuwaambia kwanza ni lazima akashauruane na mkewe na wanae, na aligoma kupizwa officini kwanza,

Mpasuko CDM unazidi kuendelea
 
Viroba hakuna sasa ww umetumia nn? Au umekula[emoji90] [emoji196]
 
Wengine hawaguswi,,pengine ni haibu maana aliyemteua alisema alijiridhisha kila jina kabla ya kuteua
 
Hao wanaotaka abaki ni wale wenye maslahi moja kwa moja na u-RC wake. Ukumbuke hapo kuna wenye tender, zabuni na mazaga zaga kibao na ndio hao wanaojitoa akili kumkingia kifua.

Mmoja wapo akiwa Lemutuz.
 
CCM wakwenda jela ni wengi mana kuna mwingine ana PHD feki huyu mwingine anatumia vyeti ambavyo si vyake na katuliza msambwanda hana wasiwasi kwa jinsi anavyopenda mteremko halafu unataka Vizibo wafia chama cha jembe na nyundo waongee nini zaidi ya zidumu fikra za mwenyekiti
 
Usikute ni kale katetesi ka mange kana ukweli
 
Wamkinge kwa sababu gani? Kama nafasi yake inafaa kukaliwa na mtu wa darasa la saba basi wamuache aendelee! Lakini sheria pia ichukue mkondo wake kuhusu matumizi ya vyeti feki iwapo atabainika kua ni Daudi Bashite. Hili suala wanalivuuuta utadhani Makonda ni mungu wa hii nchi!!! Manavyokuja na sheria za kuangalia vyeti kwanini hamkujichunguza nyie wenyewe kwanza ndo muendeleze mipango yenu? Haya ndo madhara ya kukurupuka. Mlidhani watakaokua affected ni watu wa chini pekee?
Acheni upendeleo wa ki.ji.nga! Yaani kwa sababu ya hivi nna imani kubwa sana kuna wauwaji na majambazi wanatembea mitaani kwasababu viongozi mnawakinga! Madawa ya kulevya mlikurupuka kukamata watumiaji, kwanini huyu nae asifikishwe central ajielezee...? Akikutwa hana hatia mtoeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…