Tetesi: Yanayojiri ndani ya Chama Cha Mapinduzi(CCM)

Tetesi: Yanayojiri ndani ya Chama Cha Mapinduzi(CCM)

dakika bashite mtakuja mfukuzane nyie
 
Nimekuja kuamini huu utajaji majina ilimlenga Mbowe kisha Chadema! Make humu inakuzwa sana chadema ni wauza madawa! Ndo maana wenye ujuvi wa mambo waliona vita ililenga watu ma si vita vya madawa. Baada mission kuwa imetimia, utajaji ukaisha!
 
Labda mheshimiwa mkuu kashachunguza na kubaini hili kuwa tuhuma haina ukweli, ndio maana kanyamaza.
Au exactly the opposite.

Sasa kinachofanyika ni damage control tu.
 
Yani kweli unakaa mkoa unaongozwa na mtu aliyepata ziro...yani kichwani hamna kitu....si bora muhame huo mkoa...division 1 na chuo ulisimamisha mabanda ya kutosha lakin upo mtaaani hauna ajira wala any means ya mtaji, lakini wenye division sifuri na waliosaidiwa kufaulu chuo kwa kukaa zaid ya miaka 6 wanapata ukuu wa mkoa...only in tanzania
 
tapatalk_1487856871241.jpg
 
Kama mkuu wa mkoa anatuhumiwa uongo, itakuwa busara aitishe conference aoneshe vyeti na bahati nzuri yeye ni mpenda kamera jambo hilo litakuwa jema pia
 
Labda mheshimiwa mkuu kashachunguza na kubaini hili kuwa tuhuma haina ukweli, ndio maana kanyamaza.

Mkuu;
Na weye unamuunga mkono kuwa kukaa kimya ndo jibu?? Sidhani kama ni kiongozi mzuri angelinyamaa kimya. Amuamuru basi Bashite ajitokeze akatae hizo tuhuma zikiwa bado mbichi. Kukaa kimya hivi maanake kazikubali kuwa ni kweli.
Mbona miye ninacho cha darasa la nane hadi leo??
Aje tuoneshane vyeti, kwani akisema kuwa jamani mimi si Paulo bali Daudi nnani angelimshangaa?? Wengi tu walirudia mara 7 na bado leo ni maprofesa.
Kutembea na cheti cha mwingine lazima akufanye mtumwa wake tu.
 
Nilifikiri mmeshaacha kujitungia hadithi zenu!
 
Am sure kungekuwa na hivyo vyeti kwa hulka ya mkuu angekuwa kashalizungumzia huko Lindi.
Ukiona kimya ujue wameshikwa pabaya.
Huyu angekuwa shirima ,molel au mhando angekuwa keshaondolewa siku nyingi.
Lakini kwa kuwa ni mwenzetu tukae kimya tu. Yataisha.
 
Tatizo la Bashite sio kufeli, kwani wapo wengi waliofeli; bali tatizo la Bashite ni kutenda kosa la kutumia cheti kisicho cheke. Bashite ni mhalifu na anatakiwa kufikishwa mahakamani kuhukumiwa kwa mujibu wa sheria
 
Mwongo na mmbea mkubwa, hata wewe bashite vilevile
Mkuu ngazi zako za juu zina matatizo jibu hoja ukisema umshambulie mtoa hoja utashambuliwa wangapi wenye mawazo kama haya juu ya bashite
 
Back
Top Bottom