Yanayojiri sherehe ya harusi ya Mshana Jr Vs Demis!

Dah...nipo hapa kitambo sana...nasubiri raundi ya kunywa damu ya mbuzi....sijui itakuwepo?[emoji20] [emoji12]
 
Zile nyuzi za usiku wa manane hatutazipata tena.
Maana muda huo si wa kaingia JF tena .

Demiss, michepuko tupa kabisa maana hapo ni kwa David Msuguri.

Hongereni wana ndugu.
 
Acheni fujo....
Mmeshalewa damu ya mbuzi kilingeni ilyochanganywa na konyagi nyie...
Acha kabisa, ila kama wachawi wameanza kweli kulewa, naona vigagula 2 au 3 wanasukumana na kunyoosheana vidole, wakitishiana, mmoja kamtishia mwenzake ataiweka papuchi kwa paji la uso! Aise ebu mtafuteni Mambosasa naona things are getting out of hand...
 
[emoji15] [emoji15] [emoji1] [emoji1] [emoji83] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…