Yanayojiri sherehe ya harusi ya Mshana Jr Vs Demis!

Wanandoa Demiss & mshana jr wageni wanaondoka misosi imebaki vipi tena?! Fungeni hizo goody bags basi, watu wafunguwe kinywa kesho asubuhi, angalia kama yale mapaja ya kunguru inakuwaje?! Mbona yalishambuliwa mwanzoni?! Kuna steki za chatu na fisi pale kwenye sinia, tena fresh from Gambushi, mbona watu wamevimbiwa mapema?! Au kuna mchawi mwenzetu kazidisha manjonjo?!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] kumbe alikuwa mfagia kilinge huyu Demiss
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom