Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
Tumbo ka pipa.
Mungu anampenda Lissu.
Mwenzake alikuwa anayapangilia kama noti za ten ten kwa vibundaBoni ni mzembe anayaachia tu makaratasi yanajirundika
HahahahaπππMama kazi anayo, halafu wamejichanganya eti mgombea mwenzao Nchimbi.
Haya sasa waendelee na akina Doto Magari, Mwijaku, Baba Revo, Diamond nk.
Tunataka siasa za JINO Kwa JINO sasa.
Yeah ndio alikua wakala wake.Boniyai ndiye alimsimamia Mbowe kura?
Kumbe mnaelewa.......kujifurahisha kwemaKabisa, mbeleko ya vyombo vya dola ndio inapeleka.
Tunamshukuru Mungu katika hili kwani sauti ya wengi ni sauti ya Mungu. Glory to God.SAGAI GALGANO Amka Lissu kashinda huku
Haisaidii kitu mkuu. Uchaguzi ushapita na mshindi kapatikana. Hayo yapo kwenu CCM kuwindana sisi huku tu wamoja na kazi ya kukijenga chama inaendelea. ππππ
Matokeo gani unayotaka mkuuNimefurahi sana TAL kushinda japo matokeo bado hayajatangazwa.
Tuendelee kumuheshimu Mbowe na sasa TAL kashika kijiti. Kama Taifa kazi tunayo. πππ