Haisaidii kitu mkuu. Uchaguzi ushapita na mshindi kapatikana. Hayo yapo kwenu CCM kuwindana sisi huku tu wamoja na kazi ya kukijenga chama inaendelea. ππππ
Huku sio CCM. Tuliza kitenesi we Baba Keagan.ππππ Limeshaisha hilo.Matokeo bado kutanhazwa rasmi Ati mnafurahia
Teams tulieni kwanza maana mashangazo yanaweza kuwa piga shoki
hakika.Mama kazi anayo, halafu wamejichanganya eti mgombea mwenzao Nchimbi.
Haya sasa waendelee na akina Doto Magari, Mwijaku, Baba Revo, Diamond nk.
Tunataka siasa za JINO Kwa JINO sasa.
cocochanel umeiona hii risiti?
Sasa siku nyingine mjifunze kutodharau maoni ya wananchi.
Siku nyingine mjifunze kutodharau polls za mitandaoni kwa hoja za kuwa hao si wapiga kura.
Ulishawahi ona taahira mwembamba?π€£Boni ni mzembe anayaachia tu makaratasi yanajirundika
Ananichekeshaga sana huyu jamaa, hana tofauti na Steve nyenyereeee
Fanya wepesi na sie tushangilie ushindi wa TALWewe tu mkuu.
Hata Yuda hakufanya kwa kustukiza kiasi hiki?Shooooo
Upo sawa
Mimi lini nipo kwa chama yoyote?
Mungu ana makusudi nae, watu kama hawa si wa kugusaNaam kila sikio na lisikie.
Jiwe alikaza fuvu kama Farao akajaribu kupambana mtetezi huyo. Somo limwingie kila Farao aliye mbele atambue kuwa TAL ni mteule
Angejitowa Chadema na ccm tofauti yenu ingekuwa ni ipi?Ulidhani Mbowe angesemaje?
Lazima aongee hivyo kujisafisha lakini angekataa kugombea ttokea mwanzo angefaa kupongezwa.
Sasa ni wakati wake wa kuungana na Ccm kumuwekea vikwazo Lissu