Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Ni Mbowe au Lissu

  • Mbowe

    Votes: 179 14.7%
  • Lissu

    Votes: 1,038 85.3%

  • Total voters
    1,217
  • Poll closed .
Sasa kama Chadema wana akili au wanahitaji kushinda Oktoba wanatakiwa waanze kuwavuta wafuasi wa Magufuli upande wao kwa kuacha kabisa kumuongelea vibaya na waanze kujitangaza kwa sera zake ambazo zilifanya mpaka leo wananchi huwambii kitu kwake.

Naelewa inahitajika a giant compromise lakini binafsi naona hiyo ndo njia pekee ya kuwafikisha nchi ya ahadi.

Mimi binafsi ni die hard fan wa Magufulism, niliwahi kuwapenda sana Chadema ila niliwachukia sana baada ya uhuni waliotufanyia July 2015.

Ila kwa ajili ya walalahoi wa nchi hii wasiokua na wa kuwasemea especially kwa sasa, mtu timamu hawezi kufurahi akiona Chadema inapotea na kwa hili wengi tulihitaji ashinde Lissu walau yeye na team yake wana nafuu kubwa sana ukiwalinganisha na mzee wa 'maridhiano'!!

Waki compromise kwa Magufuli, wananchi pia nikiwemo mimi tuta compromise kwao na kuwachagua, wakizingua hapo, watu hawataona tofauti yao na watawala na hivyo hawataona sababu ya kupiga kura, wakipiga zitaharibika ama zitaibiwa na hakutakua na mtu atakubali kuingia barabarani kutetea ushindi wao.

Uamuzi ni wao.
 
Sasa kama Chadema wana akili au wanahitaji kushinda Oktoba wanatakiwa waanze kuwavuta wafuasi wa Magufuli upande wao kwa kuacha kabisa kumuongelea vibaya na waanze kujitangaza kwa sera zake ambazo zilifanya mpaka leo wananchi huwambii kitu kwake.

Naelewa inahitajika a giant compromise lakini binafsi naona hiyo ndo njia pekee ya kuwafikisha nchi ya ahadi.

Mimi binafsi ni die hard fan wa Magufulism, niliwahi kuwapenda sana Chadema ila niliwachukia sana baada ya uhuni waliotufanyia July 2015.

Ila kwa ajili ya walalahoi wa nchi hii wasiokua na wa kuwasemea especially kwa sasa, mtu timamu hawezi kufurahi akiona Chadema inapotea na kwa hili wengi tulihitaji ashinde Lissu walau yeye na team yake wana nafuu kubwa sana ukiwalinganisha na mzee wa 'maridhiano'!!

Waki compromise kwa Magufuli, wananchi pia nikiwemo mimi tuta compromise kwao na kuwachagua, wakizingua hapo, watu hawataona tofauti yao na watawala na hivyo hawataona sababu ya kupiga kura, wakipiga p ama zitaibiwa na hakutakua na mtu atakubali kuingia barabarani kutetea ushindi wao.

Uamuzi ni wao
Pambalu yupo atafanya hiyo kazi.
 
Team TAL wa toka mwanzo, tukamuamini, tukamuombea na tukajua atashinda tujuane. Nina furaha sana. Huwa nachagua vitu vya maana na vizuri. Nilikuwa naweka hashtags za:
#twendenaLissu
#Lissuanatosha

Hatimaye yametimia.
Huyu Baba namuombea, atakuja kuwa Raisi wa hii nchi, ataitendea haki, tutakuwa na Tanzania tunayoitaka. Hutaki kameze tikiti, Lissu tunaye na tunatamba naye. Sasa nikachukue kadi ya Chadema. 🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️
 
Sisi wafuasi wake alufa na omega tumeumia sana kwa kweli 😁😁😁🤸🏿‍♂️🤸🏿‍♂️🤸🏿‍♂️

GfMNLpyXYAA8ucg.jpeg
 
Na amzungushie ulinzi wa Malaika...Mungu tunaomba uitendee Tanzania kama ulivoitendea marekani
Amen, Mungu akiamua liwe linakuwa. Hata wawe wanaogopekaje, wawe na fedha kiasi gani, madaraka na ulinzi wa aina gani. Mungu Baba akitaka liwe, hakuna wa kulizuia. Watapambana ila Lissu atashinda.

Tuzidi kumuombea ulinzi wa Mungu umzunguke, kila watakapopanga kumdhuru, wasimuone afichwe na damu ya Yesu.
Lissu wengi tunakupenda sana na tjnakuombea Baba.
 
Back
Top Bottom