Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Ni Mbowe au Lissu

  • Mbowe

    Votes: 179 14.7%
  • Lissu

    Votes: 1,038 85.3%

  • Total voters
    1,217
  • Poll closed .
Kwa niaba ya wafuasi wa itikadi ya hayati Magufuli tumpongeza sana Tundu lissu kwa usindi alio upata

Tofauti zetu haziwezi ziui yeye kuchukua dola 2025 , tuko pamoja nae

Hongera Tundu lissu
Duh 🙄!
Yaani hayawi hayawi sasa yamekuwa ???????????????!!!!!!!!!!
Kwakweli ngoja Tusubiri tuone 😳🙄😅😄😂

Sisi wengine ni watazamaji tu pale Stadio El Paso Chang’ombe Temeke Dar es salaam karibu na Ilala Boma karibu na Uwanja wa Karume mita chache kutoka Breweries na Shule ya Uhuru !

Ngoja Tusubiri tuone ! Naona kumekucha tayari 😳😳😳👨‍💻
 
Kwa mara ya kwanza tangu niwe na kitambulisho cha kura, 2025 ntashawishika kumpigia kura Lissu.

Sijawahi kuwa shabiki wa chama chochote cha siasa ila Naanza kuwa na imani na chadema chini ya Lissu.
 
Kilichobaki kwa Lissu ni kimoja tuu, binafsi namuona Lissu kama magufuli wa pili (nazungumzia uchapakazi wa magufuli).

Hivyo, namuombea sana Lissu apate nguvu za kuwaunganisha wafuasi wa JPM Mm nikiwa mmoja wao ili tujiunge na chadema.

Huu uwezo anao kwa 100%, n kuongea mazuri ya JPM na kuacha yake mabaya yake.
 
Natoa rai mapema baada ya ushindi huu wa lissu.

Yale tuliyo yaona ya Biden kuondolewa kwenye kinyanganyiro ndani ya chama chake yawezekana yakatokea na Tz mwaka huu.

Kuna jambo kiroho liko nyuma ya ushindi wa Lissu.

Ile roho iliyoko ndani yake ikipandikizwa kwa usahihi kwa wanachama wake kama ilivo kuwa kwa Yeshua. Tutegemee kuona mabadiliko ya siasa za kistaarabu kwenda siasa za kushawishi kwa nguvu.

Huyu Mwanaume ana near death experience watu wa hivi kiroho wana jambo la kustaajabisha mno.

My Take Chama Tawala wasifanye mambo kwa mazoea. Hili litagharimu taifa sana sana.



Kama asemavyo Kaka Paskali the Voice from within has alot to say to us.
near death experience!!! that's a hell of thing. so basically you say the guy almost came into hell door viz a viz
 
Sasa ni wakati wakuondoa tofauti zetu na kukijenga vyema chama,kwa jinsi CDM wanavobadili wagombea uraisi,uenda mwaka huu wakampendekeza heche,nabashiri tu jamani.
 
Kinachonishangaza ni kwamba mbona katika nchi hii haijawahi tokea chama chochote cha kisiasa kufanya uchaguzi kama huu wa Chadema.

Vyama vingine vinapofanya uchaguzi waga ni vote by acclamation yaani mwenyekiti hupitishwa kwa vigelegele bila kupingwa na ccm ni maarufu sana kwa uchaguzi wa namna hii halafu tena wanakuja kusema vyama vingine havina demokrasia.

Leo Chadema imeonyesha mfano kwa vyama Tanzania na Afrika kwa ujumla na ni historia kabisa imeandikwa.

This Chadema election will surely go down in history as a landmark election worthy of being emulated by other dictatorial political entities masquerading as political parties and now it's the time for all Chadema members to forget about their pre-election rivalry and focus on strengthening their party ahead of the forthcoming general elections due for October this year.

In line with that, I appeal to all Chadema members as well as other peoples of goodwill in the aftermath of this election to bury the hatchet and accept the reality that there is no the vanquished but all are victors.
 
Back
Top Bottom