Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Ni Mbowe au Lissu

  • Mbowe

    Votes: 179 14.7%
  • Lissu

    Votes: 1,038 85.3%

  • Total voters
    1,217
  • Poll closed .
Kwenye kampeni hataweza kushindana na Lissu. Hana uwezo wa kujenga hoja, hana rekodi nzuri ya kuitetea, kuhimili mikikimikiki, spana, mchakamchaka wa kampeni October 2025.

Njia pekee ni Samia kutumia polisi, usalama, vitisho, wizi wa uchaguzi kushinda.
Nadhani mwaka huu lazima wagombea urais wawekewe mapingamizi! Vinginevyo lazima kura za maruhani zianze kupigwa mapema mwezi August, 2025.
Mama Abduli hana sifa zozote za uongozi! Hata yeye pamoja na wote wanomzunguka wanajua hivyo!
 
Hujui kwamba Rais wa nchi na makamu wake hawawezi wakatoka upande mmoja wa muungano!
Mzanzibar anatakiwa kuamua mambo ya muungano tu. Mzanzibar hatakiwi kuhusika kuamua mambo yanayo husu Tanganyika peke yake.
 
For sure hata Mimi zamani nilikuwa namwona lema Kama mkabila na mwenye maslahi binafsi kisiasa for sure nilikuwa natenda dhambi kumdhania jambo mtu nisiyemjua
Lema ni mtu wa kunyooka kitambo sana waulize watu wa Arusha watakuambia akiitisha maandamano usiku wanaenda hanaga kubembelezana, nyeusi nyeusi, nyeupe nyeupe ndio maana alichagua upande wa kunyooka na kunyoosha palipo pinda na kupindishwa.
 
Uchaguzi umekwisha, Tuone sasa tunamrudishiaje FAM, Kamtaji kake alikokaweka katika kukamilisha na kufanikisha mkutano huu kiungwana, amefanya kazi kubwa sana tumrudishie utu wetu, est cost 300ml, za mtaji wake zimezama hapo?,
#Tufanye harambee tumrudishie tabasamu.
Kabisa mkuu.
 
Nadhani mwaka huu lazima wagombea urais wawekewe mapingamizi! Vinginevyo lazima kura za maruhani zianze kupigwa mapema mwezi August, 2025.
Mama Abduli hana sifa zozote za uongozi! Hata yeye pamoja na wote wanomzunguka wanajua hivyo!

Wanaweza kuundiwa zengwe kwamba ni watukanaji, wachochezi na kufungiwa kupiga kampeni, kusoteshwa jela kama Dr Slaa kwa sasa.
 
Back
Top Bottom