Pugnator
Senior Member
- Jan 28, 2023
- 107
- 267
Wapenda haki na demokrasia ya kweli naimani leo mtakuwa na furaha sana.
Kama nilivyowaahidi hapo awali kwenye uzi huu ni kwamba pesa za Mbowe lazima tuzile lakini kura tunampa Lisu.
Uenda hata Mbowe mwenyewe alijionea ya nini haya kuzibana hizi pesa, acha wajumbe wajilie kodi zao. Na kwa hili ukijumlisha ukweli na uwazi wa uchaguzi sizani kama Abdul atakuwa na nguvu ya kudai pesa zake baada ya mission kushindwa.
Kwa namna Mbowe alivyokuwa ameshupaza shingo kutotaka kusikia sauti ya wananchi wajumbe wengi tulitamani azidiwe kura hata na Odero lakini nguvu ya pesa na baadhi ya wajumbe kutokuwa wazalendo wa kweli imefanya Mbowe apate kura alizopata.
Kwa kitendo cha Mbowe kukubaliana na matokeo imeonesha kiwango cha juu sana cha ukomavu kwani alikuwa na uwezo wa kutumia mbinu za ziada na hata kuomba msaada kwa wanaomwaga pesa ili ashinde.
Hii kwa sehemu imemuondolea makosa yake lakini imefanya tujue ukweli wa mambo ndani ya chama hasa rushwa na uchu wa madaraka ambayo tumekuwa tukipigia kelele.
Wajumbe tumewakilisha sauti za wananchi.
Hongera sana Tundu Lisu.