OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Heche hotuba nzuri sana anatoa. Mnyika anastahili tuzo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani mwaka huu lazima wagombea urais wawekewe mapingamizi! Vinginevyo lazima kura za maruhani zianze kupigwa mapema mwezi August, 2025.Kwenye kampeni hataweza kushindana na Lissu. Hana uwezo wa kujenga hoja, hana rekodi nzuri ya kuitetea, kuhimili mikikimikiki, spana, mchakamchaka wa kampeni October 2025.
Njia pekee ni Samia kutumia polisi, usalama, vitisho, wizi wa uchaguzi kushinda.
Atakumbukwa.We Mbowe hajastaafu, amestaafishwa
Atakumbukwa na kwa ubishi pia,Atakumbukwa.
Aya mbee nitapita pale Nshara jioni nikielekea nyumbani Narumu nitafute fununu za hapo madukani wanasemaje kuhusu kaka.Atakumbukwa na kwa ubishi pia,
Tulikubaliana hakuna kuhama chama🤣🤣
For sure hata Mimi zamani nilikuwa namwona lema Kama mkabila na mwenye maslahi binafsi kisiasa for sure nilikuwa natenda dhambi kumdhania jambo mtu nisiyemjuaNabii wa siasa nchini Godbless Jonathan Lema amemsaliti kaka yake Mbowe kwa maslahi ya demokrasia ndani ya Chadema abarikiwe sana.
Hujui kwamba Rais wa nchi na makamu wake hawawezi wakatoka upande mmoja wa muungano!Hapo ambacho sikijui kwenye katiba ya nchi ni kipi ?
Mzanzibar anatakiwa kuamua mambo ya muungano tu. Mzanzibar hatakiwi kuhusika kuamua mambo yanayo husu Tanganyika peke yake.Hujui kwamba Rais wa nchi na makamu wake hawawezi wakatoka upande mmoja wa muungano!
Lema ni mtu wa kunyooka kitambo sana waulize watu wa Arusha watakuambia akiitisha maandamano usiku wanaenda hanaga kubembelezana, nyeusi nyeusi, nyeupe nyeupe ndio maana alichagua upande wa kunyooka na kunyoosha palipo pinda na kupindishwa.For sure hata Mimi zamani nilikuwa namwona lema Kama mkabila na mwenye maslahi binafsi kisiasa for sure nilikuwa natenda dhambi kumdhania jambo mtu nisiyemjua
Kabisa mkuu.Uchaguzi umekwisha, Tuone sasa tunamrudishiaje FAM, Kamtaji kake alikokaweka katika kukamilisha na kufanikisha mkutano huu kiungwana, amefanya kazi kubwa sana tumrudishie utu wetu, est cost 300ml, za mtaji wake zimezama hapo?,
#Tufanye harambee tumrudishie tabasamu.
Nadhani mwaka huu lazima wagombea urais wawekewe mapingamizi! Vinginevyo lazima kura za maruhani zianze kupigwa mapema mwezi August, 2025.
Mama Abduli hana sifa zozote za uongozi! Hata yeye pamoja na wote wanomzunguka wanajua hivyo!
Shetani wa mashaka uliyenivamia jana TOKA KWA JINA LA YESU."mwenyekiti MPYA wa CHADEMA" Mmmmmh!.
Wajumbe kupita na kichwa shaaa,dakika tano nyingi.ndo maana mama abduli alishtuka akatoa fomu moja tu! Wajumbe si wema!
Wwnje hana akiliHeche anaakili