Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
Hadi sasa matokeo ni 0 - 0. Tunaelekea mapumziko muda si mrefu.Matokeo yakoje huko
UtvChannel ipi mkuu
Geita mkoani Ruvuma!!!!Mkuu, hao ni wajumbe wa kule Geita mkoani Ruvuma. Wakitoka hapo mkutanoni, moja kwa moja wanapanda basi kuelekea makwao.
Mnamtoweni kwa kura au kumla? Mkijaribu kutumia nguvu tu, Afande Mrilo yupo hapo nje anawangojeni. Ohooooooo!Hakuna cha Mark my words wala Mark Mwandosya!
Mbowe atupishe!
Leo patachimbika!!!
Neema mrembo sana!
🤔🤔 Ila alitaka sema mkoa wa geita na mkoa wa ruvuma mkuuGeita mkoani Ruvuma!!!!
Nini mbaya mkuu ...kizuri kisifieIla women aah muendelee tu kuishi kweye asili yenu.
Ulitaka kuandika nini mkuu ?Hakika Lissu sasa making ya shingo, wana chadema wanaimba kwa sauti kuu wakisema chama chao hakitaenda ubelgiji.
Hizi dalili mbaya sana kwa Lissu ambaye ametumia mabilioni katika uchaguzi huu
Na crown
Siwezi kukuambia saa hii, ngoja team Mbowe walete UTAHIRA ndio utaelewa.Mnamtoweni kwa kura au kumla? Mkijaribu kutumia nguvu tu, Afande Mrilo yupo hapo nje anawangojeni. Ohooooooo!
Nashauri mgombea wenu kura zisipotosha, kueni wapole maana kesho nayo siku.
FAM ni gamechanger ujue! Hivi umesahau ile press nyumbani kwake alipobadilishia gia angani?Lissu mpaka dakika hii anaongoza kura nyingi, makonyagi anapumulia mashine!