Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Ni Mbowe au Lissu

  • Mbowe

    Votes: 179 14.7%
  • Lissu

    Votes: 1,038 85.3%

  • Total voters
    1,217
  • Poll closed .
Golden chance never come twice...

Chadema imepata nafasi ya dhahabu kama ni mpira basi mmepata penati dk 89.

Chadema isipopata Mwenyekiti wa taifa mpya kwenye uchaguzi huu na badala yake wakaendelea kuongozwa na Mbowe basi mwisho wa chama hiki utakuwa umefika.

Kama chama hiki kitampata Tundu Lissu kuwa Mwenyekiti mpya usiku wa leo, Nawaambia siku ya kesho matumaini mapya yatazaliwa, Chadema itakuwa na kupanuka kiutawala kwa kasi, serikali nayo itafanya kazi kwa umakini zaidi.

Huu ni wakati wa Tundu Lissu na hili Halina mjadala
 
Lissu hafai kupewa chadema!
 
Hii nchi haitaki mtu aliyenyooka. Lissu na Heche wamenyooka kama rula. Wakipewa uongozi siasa za nchi hii zinaanza ground na kuwa Bora zaidi.


Huyo mangi game yake ni ndogo sana na ashazoeleka na ccm, kwake ni mkwanja, pesa mbele kama tai. Ata nchi anauza kweupeee.
 
KKKT walimtaka Bagonza, lkn ccm walimtaka Malasusa na ikawa kama ccm walivyotaka.

Sasa, chadema inamtaka Lisu, lkn ccm wanamtaka Mbowe. Je, matakwa ya chadema yatatimia?
 
Chadema mnakera sana sasa uhakiki gani usioisha au ndo mbinu ya kumuibia lissu.
Wakati wa magu alikuja na mbinu ya uhakiki usioisha. Akagoma kuajiri .
Nanyie CHADEMA mmekuja na mbinu ya kuhakiki ili ifike usiku mumuibie lisu kura .

Najua CCM wameweka nguvu nyingi kwa mbowe ili apite. Nahawamtaki lissu kwasababu jamaa hanagq kupindisha.
Nawaambia CHADEMA kamq mnataka kukijenga chama mchagueni Lissu ila kama mnataka chama kiwe kama TLP na UDP apite mbowe .
 
Kwa hiyo hawana tofauti na Rula ya Mafisadi tuliyenaye humu siyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…