4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Mwacheni mzee wa watu apumzike, kila majira na nyakati zake, wewe leo ukipewa viatu vya yule mzee unaweza kuvivaa, yule Hakua ALFA NA OMEGA aliijua siasa .Seif alikuwa maarufu huko Zanzibar (ukubwa wa mkoa tu). Zaidi ni kuwa Maalimu hakupendwa kutokana na hoja ila aliwaunganisha Wazanzibar kupitia mrengo wa dini na wakamwamini, hakuwa na cha zaidi.