Asalamaleko
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 2,699
- 7,726
Kamanda Boni imeisha hii ngoma mapema sana... Mbowe tunampa kura 80%
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni "hajachaguliwa", na si " ajachaguliwa".Binafsi siwezi kuhama chama kwa sababu mtu Fulani ajachaguliwa .
All the best TAL✌
Dunia ipi hy mkuu, em acha kujidanganya na ujinga wakoDunia ipo kimya inafuatilia uchaguzi CHADEMA. Matokeo yoyote tu yataipaisha CDM juu zaidi.
Sasa wewe Mama yangu nakuaje tena Mkeo?Sawa mke wangu.
Mgombea Urais akitokea Tanzania bara basi makamu wake lazima atokee Zanzibar and vice versa.CHADEMA wachukue uamuzi mgumu,wasimpe nafasi Mbowe wala Lisu,wampe nafasi Odero,itakuwa njia sahihi ya kuua makundi yote ndani ya CHADEMA.
Kisha uchaguzi mkuu Lisu agombee uraisi,Mbowe awe makamu wa Raisi
Huyo ni Sisiemu Moderator ingilieni kati watu wapate updatesMtu anaanzisha uzi wa live wakati anajua hawezi kuleta updates.
Huu ni UPUMBAVU.
Tunaomba kura yako na wenzako kwa TAL na Heche .Huyo ni Sisiemu Moderator ingilieni kati watu wapate updates
Ngapi hukoKuna watu wana matumaini akishinda Mbowe chama kitasonga mbele na Kuna watu wana matumaini akishinda Lissu chama kitasonga mbele pia.
Hao hao wana mashaka akishinda Lissu au akishinda Mbowe kuwa chama kitasinyaa.
La ukweli ambalo wote wanalikubali, ni kuwa baada ya uchaguzi huu maisha yataendelea na CHADEMA inatakiwa iwepo ikiwa bado ni tumaini la watanzania.