Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Ni Mbowe au Lissu

  • Mbowe

    Votes: 179 14.7%
  • Lissu

    Votes: 1,038 85.3%

  • Total voters
    1,217
  • Poll closed .
Screenshot_20250121-213024_1.jpg

Kamanda Boni imeisha hii ngoma mapema sana... Mbowe tunampa kura 80%
 
CHADEMA wachukue uamuzi mgumu,wasimpe nafasi Mbowe wala Lisu,wampe nafasi Odero,itakuwa njia sahihi ya kuua makundi yote ndani ya CHADEMA.
Kisha uchaguzi mkuu Lisu agombee uraisi,Mbowe awe makamu wa Raisi
Mgombea Urais akitokea Tanzania bara basi makamu wake lazima atokee Zanzibar and vice versa.
 
Kuna watu wana matumaini akishinda Mbowe chama kitasonga mbele na Kuna watu wana matumaini akishinda Lissu chama kitasonga mbele pia.

Hao hao wana mashaka akishinda Lissu au akishinda Mbowe kuwa chama kitasinyaa.

La ukweli ambalo wote wanalikubali, ni kuwa baada ya uchaguzi huu maisha yataendelea na CHADEMA inatakiwa iwepo ikiwa bado ni tumaini la watanzania.
 
Ngapi huko
 
Back
Top Bottom