Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Uchaguzi bado haujafanyika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee😃😀Na Makampuni ya kubet yameandaa mikeka Kabisa
Huu ni Uchaguzi wa kihistoria
Kampuni ipi hizo nitie mikeka kwa mjaluoNa Makampuni ya kubet yameandaa mikeka Kabisa
Huu ni Uchaguzi wa kihistoria
Hi poll haijaenda sawa kwa kuwa kuna mgombea mmoja kakosekana
Bwana Odero😀😃Kampuni ipi hizo nitie mikeka kwa mjaluo
Kwani wameshatangaza?Hongera sana Mhe. AntipasibTundu Lisu. Atimaye Historia imeandikwa... Hongera Kwa kuchaguliwa Kwa kishindo kuwa Mwenyekiti mpya 2025 /2029. Watanzania Wana Imani na wewe..Chaguo la Wengi ni chaguo la Mwenyezi Mungu. Tunakutakia utendaji mwema.
Huyo mwingine ni nani?Hi poll haijaenda sawa kwa kuwa kuna mgombea mmoja kakosekana
Ndiyo ujue inatakiwa kura zikipigwa mtu asilalamike. Hatua kwa hatua zinahakikiwa.Woiiii ngoja niangalie zangu UEFA maana huu uchaguzi wa asubuhi mpaka asubuhi ushanichosha.
Mbona matokeo bado...Wafuasi wa makonyagi huku wanalia hadi huruma, lissu kaninyoshea Babu Yao!
CHADEMA hiyo ratiba hawana... Hayo mambo yapo kwenu.Wajumbe tupumzishwe kwanza tukapate msosi.