Mpalakugenda
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 4,611
- 5,009
Weww lala tu, kwan hujui mshindi? 😂😂Usingizi unaninyemelea, bado tu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weww lala tu, kwan hujui mshindi? 😂😂Usingizi unaninyemelea, bado tu?
Lala achana na ujinga huu!!Usingizi unaninyemelea, bado tu?
Utasinziaje kwa mfano, kesho vijiwe vyote ni story za chadema.Tunaoenda makazini kesho tula, tusijeenda sinzia mahofisini. Tukapoteza kibarua
Nina matokeo yangu mfukoni ila si unajua walimwengu wana mengi...Weww lala tu, kwan hujui mshindi? 😂😂
Weka nofication on.Nina matokeo yangu mfukoni ila si unajua walimwengu wana mengi...
Usisahau kwamba FAM ana nyota ya kuwa gamechanger kama kwenye ile press nyumbani kwake alipotangaza kurudi tena mzigoni.WaÄ·uu,
Kuna taarifa njema huko...
Lissu anashinda Kwa kishindo, Wajumbe wamteua Mwakajoka kuwa Mwenyekiti kwa kishindo dhidi ya Dickson Matata | JamiiForums Lissu anashinda Kwa kishindo, Wajumbe wamteua Mwakajoka kuwa Mwenyekiti kwa kishindo dhidi ya Dickson Matata
Naona hata wajumbe wa huku bado hawajamaliza, wanasubiria upepo. Kama umeanza kuvuma.
Ngoja nipuzishe tu fuzu, kivumbi nitakutana nacho kesho...Weka nofication on.
Huyo ht akiulizwa anagombea nn anaweza akawa amesahau 😂Kuna mgombea wa umakamu mwenyekiti Zanzibar, mgombea kaulizwa nini falsafa za CHADEMA?.
Kajibu ni "Stronger together" 😂😂
Naunga mkono hojaNaona hata wajumbe wa huku bado hawajamaliza, wanasubiria upepo. Kama umeanza kuvuma.
CCM mlale huu uchaguzi hauwahusuLissu hafai kupewa chadema!