Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Ni Mbowe au Lissu

  • Mbowe

    Votes: 179 14.7%
  • Lissu

    Votes: 1,038 85.3%

  • Total voters
    1,217
  • Poll closed .
Wenje hajajibu swali ipasavyo.

Swali: Mheshimiwa Wenje siku kadhaa zilizopita ukitoa kauli kwenye press yako ukidai kuwa waanzilishi wa JTC walikuwa na nia ovu lakini Mheshimiwa Katibu Mkuu alikuja kupinga maoni yako. Vipi unazungumziaje hilo?

Wenje: "Aaaah unajua press yangu haikugusia maswala ya pesa iliyokusanywa kwa hiyo ni kweli lengo la JTC ilikuwa ni njema ila behind the scenes kulikuwa na nia hiyo ovu"

Majibu haya ya Wenje bado yanaendelea kuweka mkazo kwenye kauli yake kuwa JTC iliratibiwa kwa ajili ya kumpindua Mwenyekiti.
 
Boni akiwa pamoja na Jasusi
PXL_20250121_205628916.MP.jpg
PXL_20250121_205631731.MP.jpg
PXL_20250121_205626705.MP.jpg
PXL_20250121_205624921.MP.jpg
 
Back
Top Bottom