Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Ni Mbowe au Lissu

  • Mbowe

    Votes: 179 14.7%
  • Lissu

    Votes: 1,038 85.3%

  • Total voters
    1,217
  • Poll closed .
20250122_001529.jpg
 
Chadema huu ni mkutano wa uchaguz au ni mkesha wa Mwamposa 😅 yaani chadema mna mambo mengi kama safari ya chizi...
Afadhali akina ccm walijichagulia viongozi wao juu kwa juu, sukuma gang wakabak wamepigwa tobo la Aziz Ki...😅🤣
😃😃😃 Asalamaleko
 
Ila we umepiga na imeshindwa ku-boost

Hata huko wengi wanamsapoti Lissu ila Mwamba ni kama zile mbinu za Nape ni kama anazijua

Yes o nili bonyeza tu against wengi

Ku busti kwani results inasaidia nini huko waliopo now?

Pole roho juu juu Lisa siasa 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom