Ikifka zamu ya Lissu kujinadi tushtuane mkuu.Wagombea waulizwe maswali magumu kutoka kwa kambi za wapinzani wao ambao hawawaungi mkono ili kupata challenge inayoeleweka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ikifka zamu ya Lissu kujinadi tushtuane mkuu.Wagombea waulizwe maswali magumu kutoka kwa kambi za wapinzani wao ambao hawawaungi mkono ili kupata challenge inayoeleweka
Kuna mchawi kauliza swali kumbe ma ta_koo yake hata mawakili wkt wa kesi yake heche ndiye aliyemwekeaHeche ameua
Hahahaaaa, nimekusoma mkuu.Uchaguzi wa "Cheketu cheketu mahepe".
Odero hajatendewa haki kabisa.Dashboard mpaka muda huu inasoma kama ifuatavyoView attachment 3209385
Sawa. Awe anatembea polepole sasa kinaweza kumzidia akaangukaNadhani ame balance na mwili wake
😃😃😃 AsalamalekoChadema huu ni mkutano wa uchaguz au ni mkesha wa Mwamposa 😅 yaani chadema mna mambo mengi kama safari ya chizi...
Afadhali akina ccm walijichagulia viongozi wao juu kwa juu, sukuma gang wakabak wamepigwa tobo la Aziz Ki...😅🤣
Kauliza swali utafikiri amepewa aulize, Heche kamuumbua vibaya sijui wataangalianaje baadayeKuna mchawi kauliza swali kumbe ma ta_koo yake hata mawakili wkt wa kesi yake heche ndiye aliyemwekea
Ila we umepiga na imeshindwa ku-boost
Hata huko wengi wanamsapoti Lissu ila Mwamba ni kama zile mbinu za Nape ni kama anazijua
Kijana ana kibunda cha mama abdul haelewi somoKauliza swali utafikiri amepewa aulize, Heche kamuumbua vibaya sijui wataangalianaje baadaye
Unateseka ukiwa wapi gucci? 😂😂😂Yes o nili bonyeza tu against wengi
Ku busti kwani results inasaidia nini huko waliopo now?
Pole roho juu juu Lisa siasa 🤣🤣🤣
Tena kauliza kwa tone ya ukali utafikiri ana ugomvi na Heche.Kuna mchawi kauliza swali kumbe ma ta_koo yake hata mawakili wkt wa kesi yake heche ndiye aliyemwekea
Kaka Elewa kwamba Mungu ni Fundi mbona leo anaondoka kwa aibuHuyu mzee nae apumzike tu
Naunga mkono hoja ndugu yanguKaka Elewa kwamba Mungu ni Fundi mbona leo anaondoka kwa aibu
Anasema hii kazi inahitaji uzoefuHuyu mzee nae apumzike tu