ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 14,949
- 54,485
Mchana walipata mpunga, naoba ratiba ya usiku kimya!CHADEMA hiyo ratiba hawana... Hayo mambo yapo kwenu.
Wengi leo usiku hawatomeza dawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mchana walipata mpunga, naoba ratiba ya usiku kimya!CHADEMA hiyo ratiba hawana... Hayo mambo yapo kwenu.
Toka Kwa nje hapa twende hata century cinema tucheki movie nipo na range Rover yangu hapaWajumbe tupumzishwe kwanza tukapate msosi.
Tajiri!!! Na mimi ninunulie hata XtrailToka Kwa nje hapa twende hata century cinema tucheki movie nipo na range Rover yangu hapa
Wanahofia malalamiko.Kwann chadema wanapenda kutoa matokeo mida ya wachawi? Yaani kazi ya kupiga na kuhesabu kura 1200 ndiyo inafanywa mpk mida ya wachawi? Au kuna ajenda fichika?
Mkuu, katika karne hii kuendesha mambo namna hii wanathibitisha wazi kwamba hakuna wanaloweza hawa.Kwann chadema wanapenda kutoa matokeo mida ya wachawi? Yaani kazi ya kupiga na kuhesabu kura 1200 ndiyo inafanywa mpk mida ya wachawi? Au kuna ajenda fichika?
Achana na hizo Nissan ngoja nikuhonge TOYOTATajiri!!! Na mimi ninunulie hata Xtrail
Asante tajiriAchana na hizo Nissan ngoja nikuhonge TOYOTA
Land Cruiser Prado
Yaani ni wajima mpk wanatia kinyaa. Hawafai kupewa dola hawaMkuu, katika karne hii kuendesha mambo namna hii wanathibitisha wazi kwamba hakuna wanaloweza hawa.
Ni nomaKwann chadema wanapenda kutoa matokeo mida ya wachawi? Yaani kazi ya kupiga na kuhesabu kura 1200 ndiyo inafanywa mpk mida ya wachawi? Au kuna ajenda fichika?
Afu kura za kitaifa huwa wanalia zinachelewa ili zichachuliwe. Wao watu afu1 wanatoka jasho.Kwann chadema wanapenda kutoa matokeo mida ya wachawi? Yaani kazi ya kupiga na kuhesabu kura 1200 ndiyo inafanywa mpk mida ya wachawi? Au kuna ajenda fichika?