sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Subiri ballots box utamuelewaWajumbe hivi nani anayemuelewa FAM?
Anaonyesha ni mkaanga sumu pia ametoa tahadhari isionjweMbowe anadai ni kiongozi ambaye anaibua vipaji kwa vijana.
Kwanini Yanga wasimchukue?
Mkuu, hapana nakukatalia. Hotuba yake ilikuwa nzuri tu, tena kwa utulivu mkubwa. Mnyonge, mnyongeni...Kwanini Mbowe kaamua kujidhalilisha hivi? Hotuba haina mvuto wajumbe wanamzoea, dah!
Kaishiwa hojaKwanini Mbowe kaamua kujidhalilisha hivi? Hotuba haina mvuto wajumbe wanamzoea, dah!
Kwann mnafanya fujo, au nije nichukue pesa zangu nilizowahonga? Mnadhani nitarudi vp Machame bila ushindi πWajumbe tunafanya fujo
Bado hajaanza kuzungumzia habari za wajumbe kulishwa miguu ya kuku? πKitinda mimba Odero Charles Odero
Ana hoja yake ya tozo haiachi
Siasa biashara!Mbowe anaomba tumuamini
Kwani anaenda kufanya kazi ambayo haijawahi kutokea katika nchi hii
Anataka kuondoa umasikini wa nchi hii
Halafu kahitimisha hotuba kwa ku bow kama Shaolin View attachment 3209412
ELFU 5Shi ngapi tuweke?
πππππππKwann mnafanya fujo, au nije nichukue pesa zangu nilizowahonga? Mnadhani nitarudi vp Machame bila ushindi π
Kuwasikiliza wengine hutaki?Ikifka zamu ya Lissu kujinadi tushtuane mkuu.
Hoja ya kitoto sana hii ni aibu kwa mwenyekiti"Hata nguo tunazozivaa mimi nahusika katika mkono wangu ku desingn"
Mbowe
Nb: Lissu akipita kuwa mwenyekiti amfungulie mwenyekiti mstaafu biashara ya ushonaji.
Kwann ameua?Heche ameua
Wanamzoea au zomea?Kwanini Mbowe kaamua kujidhalilisha hivi? Hotuba haina mvuto wajumbe wanamzoea, dah!