Niko Manzese, njoo twende uwanja wa fisi tukale nyapu za 3k ntakutafutia malaya wakali 🔥Mkuu upo maeneo gani saiv tukatafute mbususu tufanye kupoteza muda kunsubili lisuu apande jukwaani
Kesho kazini watu watakua wanasinziaNawa uso kabisa bado wagombea wanajinadi.
Hata karatasi za kura hazija printiwa. Ndio wametuma watu waende posta ku print.🤣
Hii ipo kifurishi cha sh ngap?Crown
Posho zimehamishiwa huko, ukifika unasema konyagi hoyeeee au bapa hoyeeee unapewa kibahashaWajumbe wanalalamikiwa chooni hawakatiki.
Mtakoma wenye kazi zenu. Sisi majobless tunalala mpaka saa 7Kesho kazini watu watakua wanasinzia
Muda ndio huu au kama vipi sikilizia nitaiweka hapa ila ni mpaka amalize hotubaHapa nimebakiza 500 Mb ya kumsikiliza TAL
Acha fujo we jamaaa tulia usikie nondo"Mwaka 2019 tuliibiwa chaguzi na jemedari weru hakufanya chochote"
Lissu
Inasikitisha sana mkuu, em ngoja tupate salamu kutoka kwa mwenyekiti king'ang'aniziWe nawewe huna kitu kipya? Umekuwa sasa kama Luka Mashamba unakera.
Huu uchaguzi mbona kama utakeshaBado ndo kwanza Odero anaomba kura.
Baada yake ndo Lissu
Huu utaratibu binafsi sijauelewa kabisaKupiga kura ni asubuhi 🔥
Wangetangaza tuu kuwa uchaguzi ni siku mbiliHuu utaratibu binafsi sijauelewa kabisa