Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Ni Mbowe au Lissu

  • Mbowe

    Votes: 179 14.7%
  • Lissu

    Votes: 1,038 85.3%

  • Total voters
    1,217
  • Poll closed .
Maswali yanatakiwa yaulizwe kwa ugumu huu.

Nimependa aiana ya maswali magumu ambayo team Mbowe wanamuuliza Lissu

Uzuri ni kwamba hapa ndio sehemu ambayo hakuna swali litakosa jibu
 
Maswali yanatakiwa yaulizwe kwa ugumu huu.

Nimependa aiana ya maswali magumu ambayo team Mbowe wanamuuliza Lissu

Uzuri ni kwamba hapa ndio sehemu ambayo hakuna swali litakosa jibu
Naona Mwenyekiti anachagua team Mbowe tupu.
 
Lissu anategua vimaswali vyao tena akileta na mifano hiyo hiyo ambayo imewatokea wagombea wao wanao waunga mkono.

Unataka kumbana Lissu kwa maswali ya kwanini ulikimbia nchi wakati hata Mbowe, Wenje nao walikimbia.

Minya hapo hapo Lissu.
 
Back
Top Bottom