Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Posho inabidi wapewe siku mbiliWangetangaza tuu kuwa uchaguzi ni siku mbili
Na rushwa nazo zitembee mara mbili mbili 🔥Posho inabidi wapewe siku mbili
Nakubali msaidizi wa mwasibu OKW BOBAN SUNZU.Wakati wa speech ya Lissu wajumbe wa team Mbowe wanapiga kelele 'muda" muda"
Jamani muda ni mchezaji wa Yanga
Ni masikitiko makubwa mno 😔Wamba eeh!
Naomba niambieni kinachoendelea
Subiria mgombea wako ashinde. Polls za online Youtube na JF Lissu anaongoza kwa zaidi ya asilimia 85.Mimi ni jobless kama wewe, nishawasha Tv
Naona Mwenyekiti anachagua team Mbowe tupu.Maswali yanatakiwa yaulizwe kwa ugumu huu.
Nimependa aiana ya maswali magumu ambayo team Mbowe wanamuuliza Lissu
Uzuri ni kwamba hapa ndio sehemu ambayo hakuna swali litakosa jibu
Sawa. FAM akishindwa huu uchaguzi nakupa ELFU 5.ELFU 5
Ndio inavyotakiwa iwe hivyo sema MC alikuwa hafanyi hivyo kwa wagombea wengineNaona Mwenyekiti anachagua team Mbowe tupu.
Elezea anashinda nini?